Search results

  1. N

    Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Naomba picha ya dash board tusome speed Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  2. N

    Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Hayo mambo ya kutamani kumpigia ndio hayataki ndio maana hakupi namba
  3. N

    CAG anapaswa kujiuzulu kwa kukiuka utaratibu

    Report ya CAG ikiwasilishwa kwa serikali inakuwa mali ya wananchi, so CAG anatoa muhtasari wa mambo mbalimbali yaliyojiri..jifunze uelimike ndugu
  4. N

    Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Ila mkuu ki ukweli unapambana ni vile nyota yako haijatosha ila vuta subira bado nafasi zipo wakubwa watakuona.
  5. N

    Nini kifanyike kwa Upinzani tunapojiandaa na Uchaguzi wa 2025

    Binafsi sio haja ya kufanya uchaguzi mwingine kwa uharamia walioufanya ccm. Ni wakati sasa wa kuwaacha watanzania waburuzwe kwanza na ccm mpaka watapoamua kukiondoa hiki chama na utawala kwa maandamano.
  6. N

    Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Na ya sheikh Alhadi ilikanushwa au ndo wamesubiri mpaka Ponda ndio kuanza kukanusha?
  7. N

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amesaidia vijana toka vyuo kuajirika na wana maisha bora

    Kama umefuatilia kampeni utaona mgombea urais ccm alikuwa akimlaumu rais anayemaliza muda wake kwa vijana kukosa ajira, sasa wewe na unafiki wako unasema wameajiriwa liwe funzo.
  8. N

    Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Mkuu kuwa mkweli au umezipeleka kwenye maendeleo[emoji3]
  9. N

    Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Kweli kuna watu hawajitambui kwahiyo anataka kusema wasio na elimu wanalala njaa???
  10. N

    Corona ni dalili ya mwisho wa Dunia

    Mkuu punguza woga mwisho wa dunia bado sana, jambo la msingi ni kuandaa maisha yako tu ili siku ukiaga dunia basi iwe heri huko uendako vinginevyo haya yanayiendelea yanabaki kuwa changamoto za hapa dunia. Wataalamu wanaeleza changamoto upande mwingine ni muhimu maana zinakuwa zime wachallenge...
  11. N

    Kuna taasisi inayotoa msaada kwa wenye matatizo ya afya ya akili

    Unataka kumpeleka mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Mkuu kwani kuna biashara inafanyika? Acha kujitoa ufahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Habari wana jf, natumai wote tunajua yaliyojiri leo pale kisutu. Viongozi wa chadema wamehukumiwa na inatakiwa pesa walipe faini ili warudi uraiani kuendeleza mapambano ya kudai demokrasia ndani ya nchi yetu. Ukiwa kama mtanzania mpenda demokrasia basi nikuombe uchangie chochote ili mpaka kesho...
  14. N

    CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Mkuu kwa nini unateseka Chadema ni chama cha wananchi ni tegemeo pekee kipo mioyoni mwao, just sit back relax ujionee maajabu...ukisikia people's power ndio hiyo sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. N

    Naomba kujuzwa kuhusu kupalilia Mahindi kwa kutumia viuatilifu

    Hivyo viwatilifu vinataka uwe na taarifa za kutosha, kuna jirani yangu alitumia kupalilia mahindi cha moto amekiona mwaka huu hataambulia kitu ekari nzima imeathirika na hizo dawa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom