Search results

  1. wrong turn

    Wauza laptop tukutane hapa

    Imeshauzwa mkuu.
  2. wrong turn

    Ramadhan Special Thread

    Mkuu habar yako, ningekuomba kabla hujampinga o kumfahamisha mtu kitu kwa usahihi kwanza uwe unauhakika na unakijua kile unacho kiongea, bunaadam tumeubwa na mihemuko ila akili ya kujua ndio inatutulizia mihemko, so jifunze ili ujue.
  3. wrong turn

    Ramadhan Special Thread

    Asalam alykum, nakuombeni na kuwaomba wengine walio tayri kuutukuza mwezi mtukufu wabadili profile zao na ziwe zenye muonekano unaokubalika na Uislam, nakutakieni yaliyo yakheri kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhwaaan.
  4. wrong turn

    Ramadhan Special Thread

    W.warahmatullah wabarakatu. Mkuu, umetoa mada iliyo bora na nzuri, ila mbn umeshau hata huzo profile kubadili maana Uislam umekataza aian ya hicho ulich Kiweka hapo, nakuomba na kuwaomba wengine walio tayri kuutukuza mwezi mtukufu wabadili profile zao na ziwe zenye muonekano unaokubalika na Uislam.
  5. wrong turn

    Wauza laptop tukutane hapa

    Sio mpya mkuu, ni used, naitumia mm, ntakupa mawasilian niki confirm imefik kiuhakik coz watu zaid y mmoj wanaihitaj so nafatut reasonable price ndio ntampa mawasilian, sorry 4 that.
  6. wrong turn

    Wauza laptop tukutane hapa

    Mkuu hiyo hela sio ndogo ila haina maslah kozi hizi computer ni expensive na ni adim sna, kuna mtu nilimuuzia hp elitebook 2740p ambayo ni toleo la nyuma la Hp elitebook 2760p kwa laki 3.5. Hiyo kuna mtu anaitak kw lak 4.2 hadi siv so angalau 4.5, computa ni used coz naitimia.
  7. wrong turn

    Wauza laptop tukutane hapa

    Mi niko na Hp elitebook 2760p, touch screen, sim card kw net unatumia, webcam, 4g ram, i5, kioo kinarotet na unewez kuifany km tablet, betry iko poa, inch 13, hdd 320. Unatumia pen kwkutach ila pen yak imenipotea, bei 480,000 bt ninay mm na nik nje so natarajia kuituma tz 05.06.2017 itakuw...
  8. wrong turn

    Marekani yaonya Syria kwa pigo lingine, Mrusi naye asema thubutu tena

    Yaan mkuu inawezekana ukawa unatumia ubongo aina nyengine, kwa kuendeleza kuvutana nawewe ni kujipotezea mda bure, Kwanza, huelewi unacho kisema. Pili, huna strong facts na ulizi nazo ziko weak na ziko tofauti na unacho kisema. Tatu, unaongea kishabiki zaid, ambapo ni vigum sna kuelewa. Sasa...
  9. wrong turn

    Marekani yaonya Syria kwa pigo lingine, Mrusi naye asema thubutu tena

    Mkuu, sijui unatoka pori gani, maan unachoongea saivi nitofaut na kile ulicho ongea ila shida yako ni mahaba na mgumu wa kuelewa. nilicho kikoti mwanzo wa comment yko ni ivi:- Ukweli ni kwamba warusi wanadhindwa kukubali ukweli kwamba air defences zao hazikufua dafu kwa tomahawk na hii ni...
  10. wrong turn

    Marekani yaonya Syria kwa pigo lingine, Mrusi naye asema thubutu tena

    Hivi mkuu unashida gani na kuelewa? nimesoma CNBC nikakuta hilo jibu unalouliza na nimesha kukotia hapo mwanzo. She noted that the U.S. warned Russia about the strike before it came, limiting its potential damage. Russia may have been able to use air defense systems at the base, where it has...
  11. wrong turn

    Marekani yaonya Syria kwa pigo lingine, Mrusi naye asema thubutu tena

    Kwaza mkuu huna ukweli unao ujua kuhusu iyo crises. Pili hakuna habari yoyote iliyosema air defece zilizimwa, hata hapo juu km hujui hiyo lugha ingiza google translate utapata kujua, and decided not to. Alafu mambo yanayo husian na vita hayako kishabiki km munavyo shabikia mipira.
  12. wrong turn

    Marekani yaonya Syria kwa pigo lingine, Mrusi naye asema thubutu tena

    "I don't think they want escalation. I think they want to deter escalation," Oliker said. She noted that the U.S. warned Russia about the strike before it came, limiting its potential damage. Russia may have been able to use air defense systems at the base, where it has equipment, and decided...
  13. wrong turn

    Trump launches military strike against Syria

    Kumbe uko kishabiki eti.
  14. wrong turn

    Trump launches military strike against Syria

    Mkuu, nime make mistake kwenye hiyo statement ila syria kuna air defense s-200, s-300, s400 na ina nyengine za defence ila kwa s-300 na s-400 zilizoletwa na russia ni kwa ajili ya rassian base tu na sio kwa syrian base, hakuna makubalian ya hizo efence kulinda syria ni kulinda base za kirussi...
  15. wrong turn

    Trump launches military strike against Syria

    Watu mko kishabiki zaidi, hebu soma kwnye hiyo italic bold mark. The S-400 Triumph missile system and the Pantsir complex, which is a short to medium range surface-to-air missile and anti-aircraft artillery weapon system, are ensuring the protection of Russia’s Air Force at the Khmeimim airbase...
  16. wrong turn

    Trump launches military strike against Syria

    Mkuu, Russia hawajapeleka S400 walipeleka S300 hata hivyo ziko kwenye kambi za kirusi ambazo wanaopereti warusi, haziko kwenye kambi za wasiria, huo mfumo uliwekwa kwa ajili ya warusi pindi ikitokea kitisho cha mashambulizi kwenye maeneo ya warusi nasio maeneo ya wasiria.
  17. wrong turn

    Kupata mwanamke bikra sio kila kitu

    Mimi kwanza nielimisheni, bikra nini o huwa vp?, na vipi hutoka o kutolewa?, hutoka kwa mda gani?, je inawezekana m/ke asiwe na uhakika km anayo o hana bikra. naombeni kujua coz i have contradiction n it.
  18. wrong turn

    Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Hujakuwa ukikuwa utaelewa unachi kifanya.
  19. wrong turn

    Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Ulisoma katiba yao inasemaje?, hata hivyo nakuona umeshindwa kuzuia hisia zako za chuki kwa wengine.
Back
Top Bottom