Search results

  1. T

    Kwanini Mafuta ya kula kama Korie, Alizeti na mengine kwa ujumla wake ni ghali sana kuliko mafuta ya Mashine?

    Wana Jamii wenzangu habari ya siku ya leo...! Tafadhali ningependa kufahamu ni kwa nini Mafuta ya kula kama Korie, Alizeti na mengine kwa ujumla wake ni ghali sana kuliko mafuta ya Mashine na Mitambo kama Petrol na Diesel wakati Nchi yetu ni tajiri kwa Nafaka za mafuta ya kula kama korosho...
  2. T

    Msaada wa Ufafanuzi Tafadhali.

    Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia na wengineo., wote wamevaa sare zao za kazi na vyeo vyao mabegani, Je, nani anapashwa...
  3. T

    Miezi minne sasa Jeshi la Uhamiaji, halijatoa Mshahara wala Posho kwa Askari wake

    Yapata miezi mine (04) sasa tangu Askari wapya wa Jeshi la Uhamiaji wahitimumafunzo yao katika chuo cha Polisi Moshi (CCP) na kupata ajira hyo tarehe 24/06/2016. Lakini cha ajabu hawajapokea malipo yoyote yale ya Posho na Mshahara kwa muda huo wote wa miezi minne, mbaya zaidi wameambiwa...
  4. T

    To all I n' I.

    wishin' yuh all de best in comin' 2014 ma' friends.
  5. T

    viwandani.....!

    Wanajf naomben kwa yeyote anayeweza kunifahamisha nafas ya kaz viwandani hata kubeba mizigo kupakia kwenye magar au kupanga bidhaa ghalan hata wakat wa usiku niko tayar. kiwanda chochote kile
  6. T

    Rastaman je?

    Wanajamii hebu nisaidien mimi ni nimesomea degree ya HRM hivi naweza kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu za kirastafarian? Pia natafuta kazi yoyote ile sichagui kazi hata kufundisha tuition kwa makampun binafsi niko tayar.
  7. T

    Rastaman je?

    Wanajamii hebu nisaidien mimi nimesomea degree ya HRM hv naweza Kwel kupata kazi serikalini au ndo naweza kubaguliwa kutokana na nywele zangu. Kwa makampun binafsi je?
Back
Top Bottom