Search results

  1. Fabian leonard

    jamaniiiiiiiiii

    eti kweli x mass imefikq
  2. Fabian leonard

    Sijui lakni ........! Mhuuuuu!

    Sijui twa elekea wapi nimeshuhudia kwa macho yangu viongozi wa vyama tofauti wakilushiana maneno machafu badala ya kupatana ili kuunganisha wafuasi wao kuheshimiana na kusaidiana jamani kheee! Kabda.
  3. Fabian leonard

    Majangaaaa!

    Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!
  4. Fabian leonard

    Hatutajulikana kama pesa tunazo.

    Siku kadhaa zilizo pita maeneo ya nyamhongoro igoma mwanza watu wapatao 7 wamevamia guest mida ya saa 12 jioni kabla ya yote wali piga lisasi hewani ili kutisha wananchi lakni wananchi wali kakamaa natkupambana nao na kufanikiwa kuwauja wahalifu 2 walikutwa na risasi 700 .
  5. Fabian leonard

    Hi mtaweza kweli au mbwembe tu.....!

    Naomba msaada wenu jamani hivi ni kwanini mtu/binadam anazaliwa na jinsia mbili!
Back
Top Bottom