Search results

  1. Chloroquine

    Kwanini sabuni za Zoazoa zinawasha ukeni?

    Uke hautakiwi kuoshwa kwa sabuni wala kuingiza vidole ndani utakuwa unaondoa au kuua wale bacteria wanaolinda uke (normal flora) hivyo kusababisha kupata magojwa kama fungus, bacteria infection n.k Sio salama kutumia sabuni ukeni kabisa.
  2. Chloroquine

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Nadhani wanazima leo saa sita usiku mkuu ndo itakuwa siku ya mwisho kati ya zile siku 20 alizotoa mheshimiwa Rais.
  3. Chloroquine

    TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

    Pole sana mkuu nasi tumejifunza kitu hapo ahsante kwa kushare
  4. Chloroquine

    Naomba kujua tofauti ya kipawa na karama

    Neno ''Karama'' maana yake ni kipawa anachojaliwa mtu kupewa kutoka kwa MUNGU ili kipawa hicho akitumie kwa mema na sio mabaya. Neno ''Kipawa'' maana yake ni uwezo aliozaliwa nao mtu ambao humfanya mtu huyo kufanya jambo fulani vizuri.
  5. Chloroquine

    Hakika chumba cha jirani ni shida

    Duh na wewe rukia wako mkuu wasikusumbue
  6. Chloroquine

    Aslay hizi sasa sifa zimezidi kipimo

    Pole sana ila ndiyo kazi ya fasihi hapa anawakosoa wale wote wenye sifa hizo ili wajirekebishe ila tatizo hapa fasihi iliyotumika ni ya mtaani sana na isiyo na staha.
  7. Chloroquine

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Duh sasa kabla ya kushauriwa je unawatafuna au unatafunwa?
  8. Chloroquine

    Abiria wa ndege ya ATCL aina ya Bombardier Mwanza hadi Bukoba wakwama

    Kuweni wapole engeneer wa ndege wafanye yao maana inaweza kuruka hivyo hivyo na ubovu wake tukaanza kuomboleza.
  9. Chloroquine

    Mwanamke wa kunitunuku mtoto

    Bora umekuwa mkweli haya wanawake wenye mitizamo sawa nawe watakuja
  10. Chloroquine

    Hivi unapomtia mwenzako kilema cha maisha, baadae mkionana utajisikiaje?

    Hapo ndo utajua kila mtu ameumbwa kwa utashi na akili zake ila Mungu yupo
  11. Chloroquine

    Nataka kufunga ndoa bila sherehe

    Ndoa kanisani sherehe ni anasa tu mnatumbua milioni 20 kwa masaa machache watu wakishaondoka mnaendelea kula ugali wa kulumangia
  12. Chloroquine

    Mwanamke wa kunitunuku mtoto

    Nadhani ungesema unatafuta mke wa kuoa kabisa na si mwanamke wa kuzaa nae
  13. Chloroquine

    Tyfod wapendwa tiba yake ni nini

    Kwanza kabisa pima ujue kama ni yenyewe maana dawa ni nyingi. Unaweza kutumia Ciprofloxacin tabs 500mg ila kwa ushauri hapa ukipata brand za Egypt, Greece au Germany uhakika sana.
  14. Chloroquine

    Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

    Hakukupenda kwa dhati huyo aliamua kuwa na wewe kwa misaada yako kimeeleweka kwake akasepa. Pole sana piga moyo konde atakuja wa ukweli
Back
Top Bottom