Search results

  1. Chilisosi

    Napendekeza Dr. Slaa apewe uwaziri wa mambo ya ndani ili atimize ndoto yake ya kumaliza ufisadi

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, hakuna mtu alieshikilia bango ufisadi kwa nguvu zote zaidi ya Dr Slaa. Kwa kua Rais wetu ajae Dr Magufuli kasema anataka mawaziri wachapa kazi kama yeye, basi si vibaya akamvuta Dr Slaa kwenye baraza lake ili aongeze nguvu Dr Slaa ni zaidi ya alivyokua Mrema enzi...
  2. Chilisosi

    Sura za makamanda leo baada ya mikutano ya TINGATINGA Moshi na Arusha jana

    Ndugu zanguni Leo nimebahatika kupata muonekano wa makamanda wetu wa ukawa
  3. Chilisosi

    Mbunge mstaafu Lema Salaam, Zile picha za ambulance ulizifikisha Arusha?

    Tukumbushane tu, kama hizi picha uliisha wakabidhi wananchi wa Arusha ...
  4. Chilisosi

    Ikiwa Wameondoka hawa CHADEMA, wewe nani mpaka Mbowe akuone wa maana?

    Kaondoka Chris Lukosi - Mwenyekiti Chadema UK Kaondoka Zitto - Naibu Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Dr Dr. Wilbroad Slaa - Katibu Mkuu Chadema. Kaondoka Said Arfi - Makamu Mwenyekiti Chadema Kaondoka Prof Kitila Mkumbo Kaondoka Mzee Wasira Na wengine weeengi walioshika nafasi za juu ndani ya...
  5. Chilisosi

    UPINZANI na CCM sote ni ndugu, tatizo ni Lowassa, Mbowe na vibara wao, TUWAKATE!

    Ndugu zanguni Siku hizi kumekua na chuki zikienezwa kati ya wanachama wa CCM na wale wa upinzani/ukawa. Hili sio jambo jema na ni lazima tulikemee Tanzania ni nchi yetu na sisi sote ni ya kwetu, tusikubali kutumiwa na hawa mafisadi wanaotaka kuchukua dola ili wajitajirishe wao na familia zao...
  6. Chilisosi

    Watanzania tusikubali wapigaji wachukue gesi yetu na mafuta kwa mgongo wa Lowassa

    Ndugu zanguni Nimefuatilia kwa karibu sana watu walioko nyuma ya Lowassa na nimegundua kua wote wako kimaslahi tu, hakuna mwenye mapenzi na nchi yetu hata kidogo Tusikubali watu waje kugawana vitalu vya ges na mafuta yetu kama njugu. Hawa watu ni hatari kuliko ebola Tushtuke watanzania...
  7. Chilisosi

    UKAWA wanaona aibu kurusha hotuba za Lowassa

    Ndugu zanguni Nimegundua siku hizi hotuba za Lowassa hazirushwi kabisa kwenye video clips au live tv. Hii ni uthibitisho kua ukawa wanaona aibu mgombea wao akisikika kwa wananchi kwani kila akiongea hua haeleweki jambo ambalo linapelekea watanzania wengi kuanza kushtuka kwani kama mgombea...
  8. Chilisosi

    TV zote nchini ni wabaguzi, wanamtenga Lowassa na kumpendelea Magufuli

    Ndugu zanguni, Nimesikitishwa sana na kitendo cha TV zetu kumpendelea mno Magufuli. Yaani utaona wanamuonyesha Magufuli akihutubia kwa muda mrefui kweli, wakati kwa Lowassa wanaonyesha muda mfupi tu mpaka tunashindwa kuelewa yale madini makubwa makubwa Acheni upendeleo, wagombea wote...
  9. Chilisosi

    Lowassa na Sumaye wako UKAWA kuua upinzani...

    Ndugu zanguni Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza? IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda? Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi? Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya...
  10. Chilisosi

    Baada ya uchaguzi Oktoba, nawaomba CCM watoe elimu ya uraia kwa vijana waliopotezwa na pepo mbaya

    Ndugu zanguni Kufuatia vijana wengi kuingiliwa na pepo mbaya aliepo sasa UKAWA, ninakiomba chama changu baada ya uchaguzi kifanye kazi ya kuwatoa hao pepo wabaya na kuwapa elimu ya uraia ili wajitambue na waendelee na ujenzi wa Taifa Hawa ni Watanzania wenzetu na sisi sote ni wamoja, tatizo ni...
  11. Chilisosi

    Ombi kwa Dr. Slaa; Usiondoke bila kutuaga, tafadhali zunguka nchi nzima uwaage wafuasi wako

    Mheshimiwa Dr Slaa Shikamoo Mimi kama mmoja wa watu waliowahi ingia chadema kwa sababu ya hoja na misimamo yako nilisikitishwa sana na kustaafu kwako na yote yalitokea ndani ya chadema Nashukuru mimi nina TV hivyo niliweza kukuona live ile siku taifa zima liliposimama kukusikiliza Lakini...
  12. Chilisosi

    Yaani wote hawa ni wasaliti?

    Yaani hata kama una akili ya nyumbu utashindwa kujua kua kuna tatizo?
  13. Chilisosi

    Barua yangu kwa Dr. Slaa: Rudi CCM upige kazi, maigizo waachie CHADEMA

    Mheshimiwa Dr Slaa Shikaamoo. Najua huko uliko u mzima wa afya na unaendelea vyema na mapumziko yako Mimi kama mmoja wa walioguswa sana na yaliyotokea ndani ya chadema hivi karibuni, nimeona nikuandikie barua hii ya wazi na kukuomba ufanye maamuzi stahiki ya kurudi nyumbani Kuna raha gani ya...
  14. Chilisosi

    UKAWA ni kivuli cha CCM, jua likitua kitapotea tu...

    Ndugu zanguni Nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya vijana wenzangu wanahangaika na UKAWA bila kujua kua ni photocopy ya CCM. Hebu niambie kiongozi yupi ndani ya UKawa sio product ya CCM? Lowassa, Sumaye na wengine wote wametoka CCM na maisha yao unayoyaona yametokana na CCM. Ukawa ni kivuli...
  15. Chilisosi

    Ijue sababu ya waliokatwa ccm kukimbilia Ukawa

    Ni umoja wa kupokea ambao wamekatwa
  16. Chilisosi

    Hongera sana Juliana Shonza kwa kupita kwa kishindo ubunge UWT Songwe

    Ndugu zanguni Nimepokea taarifa nzuri kutoka Mbeya kuwa dada yetu mpendwa Juliana Shonza amepita kwa kishindo kura za ubunge maalum UWT Songwe. Huu ni mfano mzuri.
  17. Chilisosi

    Nyalandu aifanyia kazi video ya Mch. Msigwa

    Ndugu zanguni, Leo, kwa mara ya kwanza tokea Chadema iundwe, mbunge wa kutokea Chadema amefurahishwa na kazi ya waziri wa chama tawala. Mheshimiwa Mchungaji Msigwa katika ukurasa wake wa facebook ameandika haya Peter Msigwa about an hour ago near Iringa, Tanzania Nampongeza waziri, Nyalandu...
  18. Chilisosi

    Arusha wamenufaika na lipi tokea wamchague Lema kuwa mbunge?

    Ndugu zanguni, Leo nimeona niulize swali dogo tu kwa ndugu zetu wa Arusha ili nasi tujifunze kutoka kwao Mwaka 2010 walimchagua rafiki yangu Dk Lema kuwa mbunge wa Arusha, na mara baada ya kuchaguliwa umaarufu wake umeongezeka maradufu kiasi cha kumfanya afahamike kila kona ya nchi. Sasa...
  19. Chilisosi

    Mtanzania aliechomwa Marekani hakuwa na ndugu, mwili wake ungerudishwa ungekosa wazikaji...

    Ndugu zanguni, Kama mjuavyo, Le mutuz ameshikilia bango suala la mbongo kuchomwa moto Marekani baada ya kukosekana dola $6,000. Lakini nataka niwaulize mnaotukosoa, JE MNAMFAHAMU MARAEHEMU?, MNAWAFAHAMU NDUGU ZAKE? Katika pitia pitia kwenye mitandao na baada ya kuongea na wabongo wawili...
  20. Chilisosi

    Haya ndiyo yalivyokuwa maisha ya wa - Libya kabla mbulumundu hawajampindua wakitegemea zaidi

    Nimeikuta hii kwenye website ya CNN Here are some Facts you probably do not know about Libya under Muammar Gaddafi: • There was no electricity bills in Libya; electricity is free … for all its citizens. • There was no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all...
Back
Top Bottom