Search results

  1. M

    Uzinduzi wa kampeni za UKAWA kesho, Mamlaka ya hali ya hewa yakanusha kuwepo mvua kubwa

    Mamalaka ya hali ya hewa imekanusha taarifa zinazunguka kwenye mitandao ya kijamii kwamba kesho kutakuwa na mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali maeneo ya dar-es-salaam kuanzia saa saba mchana. Taarifa hizo sio za kweli na zimelenga kujenga hofu kwa wananchi ili wasiweze kuhudhuria uzinduzi...
  2. M

    Letter of credit: Faida na hasara zake

    Wadau amani kwenu. Letter of credit imekuwa ikitumiwa na wafanya biashara wengi wanaojihusisha na uagizaji wa bidhaa mbalimbali kutoka nje ya nchi (international trade). Na huwa inatolewa na bank anayotumia mfanya biashara husika (mnunuzi) kwenda kwa bank ya muuzaji wa bidhaa husika alieko nje...
  3. M

    Elections 2015 Uchaguzi CCM: Mambo matano mabaya Magufuli akiwa rais

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa chama hicho kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Tanzania ina vyama 22 vilivyosajiliwa na vinavyofanya kazi sasa, tutake tusitake ni lazima rais wa nchi atatoka katika chama...
  4. M

    Diana kamara demands an apology from Sauti Sol for diminishing the legacy of Nyerere

    Tanzanian artist Diana Kamara demands an apology from Sauti Sol for diminishing the legacy of Nyerere and 'exaggerating' Mandela’s story in their song Nerea. READ LETTER: Dear Sauti Sol, Salaam, I have heard about your work and fame for a long time. But it was until the Sura Yako song...
  5. M

    Shilole atangaza nia kugombea ubunge Igunga kwa tiketi ya CCM. Apokea simu na sms za vitisho

    Msaanii wa muzuki wa kizazi kipya (Bongo fleva) Shilole bado ana nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo lake la Igunga, lakini anahofia maisha yake kuwa hatarini! Shilole anasema amekuwa amepokea simu nyingi kutoka Igunga zinazomtaka ajitose kuwania nafasi hiyo, lakini bado yupo njia panda...
  6. M

    Joseph Mbilinyi: Kikwete studio ulioitangazia dunia kuwapa wasanii iko wapi? Umemkabidhi nani?

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, amesema hajaweza kufanya kitu chochote kuwasaidiawasanii kwa kuwa wakati anagombea Ubunge hakuna aliyekuwa nyuma yake. Sugu amelazimika kusemahayo baada ya shabiki kutaka kujua ni kitu gani alichowafanyia wasanii tangu awe Mbunge.
  7. M

    Mtanzania Amon Rweyemamu akamatwa USA kwa kujipatia USD 1.8m kwa kutumia wizi wa mtandao (ID theft)

    HOUSTON -- Federal prosecutors say two people are accused of receiving about $1.8 million in fraudulent tax returns by stealing the personal information of more than 600 people. Prosecutors say 40-year-old Dion Hatch of Houston was taken into custody Tuesday. She's charged with aggravated...
  8. M

    Haya ndio maneno ya mwisho ya Abeid Karume kuhusu muungano

    Mwaka 1971, rais wa zamani wa Zanzibar, Abeid Karume, alisema: “muungano ni kama koti, likikubana, utalivua”.
  9. M

    Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

    Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona. Nasema tangia...
  10. M

    Nape aongea na waandishi wa habari leo. Ni baada ya mawaziri aliowaita mizigo kuendelea kupeta

    Mara baada ya kuundwa kwa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Abdulrahman Kinana mwanzoni mwaka mwaka jana, Sekretarieti hiyo imejiwekea utaratibu wa kufanya ziara mikoani kukutana na wananchi kusikiliza kero zao,kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi...
  11. M

    Mzizi wa Mandela Tanzania - haya ndio maisha yake mkoani kilimanjaro

    Zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania na familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu . Katika mwaka wa 1962 Nelson Mandela aliondoka Afrika kusini kisirisiri na kwa muda wa miezi saba alikuwa...
  12. M

    Tanzania yawashtaki Kagame, Museveni na Kenyatta kwenye Korti ya Jumuiya ya Africa Mashariki

    Serikali za Rwanda, Uganda, Kenya na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, zimefunguliwa kesi katika Mahakama ya Afrika ya Mashariki, zikidaiwa kukiuka mkataba wa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo. Hatua hiyo inatokana na Serikali hizo kufanya vikao vitatu mfululizo na kuzitenga nchi za...
  13. M

    Mtihani wa kidato cha nne - 2013 wavujishwa

    MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne, umeingia dosari baada ya walimu wawili akiwamo Mkuu wa Shule, kushikwa wakishiriki kutoa majibu kwa wanafunzi wao. Tayari Polisi mkoani Singida, inashikilia walimu hao wa Sekondari ya Nkinto wilayani Mkalama kwa tuhuma ya kuvujisha mtihani huo unaoendelea...
  14. M

    Wapinzani wajipanga kusimamisha mgombea mmoja mwaka 2015 ili kuing'oa CCM

    UPEPO wa mabadiliko ya kisiasa unaovuma kuelekea kambi ya upinzani, sasa unaonekana kuwaamsha viongozi wa vyama hivyo baada ya kutolewa kwa taarifa kuwa wanafikiria kusimamisha mgombea mmoja wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Taarifa zilizolifikia Mtanzania kabla ya kuthibitishwa na...
  15. M

    Real Estate business in Tanzania

    Wadau, Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe. Niliamua kuingia kwenye Real Estate baada ya kuona atleast ina future na pia kitu ninachopenda kukifanya...
  16. M

    NLD kuwashitaki Rais MKAPA na KARUME mahakama ya ICC kwa mauaji ya 2001 Zanzibar

    CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimesema kuwa kina dhamira ya kuwafikisha kwenye Mahakama ya Kimatifa ya Makosa ya Jinai (ICC) huko The Hague, Uholanzi marais wastaafu; Benjamin Mkapa na Amani Karume. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chama hicho mjini Zanzibar, marais hao...
  17. M

    Magufuli atoa tafsiri ya maneno "PEOPLES POWER". Awafagilia wanaoitumia salamu hiyo!

    WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amesema kuwa anafurahishwa na salamu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kuwa kila neno katika salamu hiyo lina maana na linaashiria ushindi. Magufuli ameyasema hayo wakati akizungumza na viongozi wa sekta ya miundombinu ya barabara wa Mkoa...
  18. M

    Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

    Baada ya bondia na footballer sasa musichana ya movie (maana kila asiyekuwa na address mjini sasa anataka awe muigizaji ili atoke khaa ) na toto ya town imekwisha Brazil eeh wasichana nyie wadogo mna mambo makuu jamani hizi lace wig, peruvian, simu za bei ya juu, vitz mbona zitawapeleka...
  19. M

    Big Brother season 8 (THE CHASE IS ON) - Hawa ndio washiriki

    Hawa ndio washiriki wa BBA season 8 (THE CHASE IS ON)
  20. M

    Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015 awanie ubunge kama wengi wanavyodhani. Rapper huyo wa ‘Machozi, Jacho na Damu’ ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, ameliambia gazeti la Mwananchi la leo kuwa amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Back
Top Bottom