Search results

  1. K

    Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    Umesahau Moshi Vijijini. Kwa Anne Kilango ni Same Mashariki sio Same Magharibi
  2. K

    Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Kaka hata kama sio mshabiki wa Lowassa ila aloleta mada kaeleza kishabiki zaidi. Kichwa cha habari kinasema "NITAONDOA FOLENI TUNDUMA SIKU 21"
  3. K

    Rais Kikwete na Tundu Lissu wakutanishwe

    Ambiere, haya maswali yako hawezi kujibu
  4. K

    My sister in Dubai wanang'ang'ania passport ya domestic worker

    Usimung'unye maneno. Waarabu wanaona watu wengine kama hawana thamani. Nimebahatika kuishi nchi za Kiarabu nikaona ubaguzi wao, ni mbaya kuliko hata saratani
  5. K

    Elections 2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

    Ndugu ZeMarcopolo ujumbe wako unahusiana na alichoandika mkuu mtatiro Julius ?? Ni busara kukaa kimya kama huwezi kujibu/kuhoji hizo hoja alizoandika Mtatiro. MUNGU IBARIKI TANZANIA na Watanzania Malofa
  6. K

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    DAVIOn Delmonte Jr Je vipi kuhusu inflation. Je hiyo Treasury bills inakua inahusika na kuporomoka kwa thamani ya fedha?? mfano ukiweka 10m ambayo inaweza kununua kiwanja Kibamba alafu baada ya mwaka kiwanja cha Kibamba kikauzwa 15m huwezi kununua kwa kua pesa yako ikiiva inakua 13.33m. Au...
  7. K

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Hivi kampuni ya marehemu Erasto Msuya bado inaendelea??? Nayeye aliachia familia maisha au kawaachia kilio tu??
  8. K

    Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Kaka huyo dno Zitto, kaja na tuhuma za kusikia na kajibiwa kwa maneno rahisi naya kaelewa. Ndio Jembe hilo. Ila kama unafuatiloia kuna video yake akinadi chama chake cha ACT-Wazalendo alisema kama Lowassa anataka kuja kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo anakaribishwa awaambie Watz kuhusu fedha...
  9. K

    Zitto: Wakati mama yangu anaumwa, mimi nilimpatia Kafulila makabrasha ya ESCROW akapambana

    Zitto anapenda Sifa kuliopitiliza. Kaona Kafulila anapewa zawadi kwa issue ya ESCROW sasa anaanza kutaka yeye ndo atajwe kama ndio kila kitu??. Zitto abadilike sasa.
  10. K

    Dr. Slaa na Prof. Ibrahim Lipumba na hatma ya UKAWA

    Bojan , Katiba haisemi ni lazima Mawaziri watoke chama kimoja na rais, ila inasema Waziri lazima awe mbunge. Hivyo mawaziri wa UKAWA watatoka kwa wabunge wa vyama vyote. Na hata kama watataka kuchagua mbunge kutoka ccm watakua hawajavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
  11. K

    Chakula Maarufu kwa 'Wapare'-Usipitwe

    Hichi chakula (Pure au Kande) mara nyingi upenda kupikwa siku ya ijumaa kinaliwa hadi Jumamosi jioni. Upishi wake lazima uwe na mahindi na maharagwe lakini unaweza kuongeza vingine kama mboga za majani, maboga n.k. Wakati wa kula unaweza kuweka maziwa mtindi au ulaka moja kwa moja. Ukiweka...
  12. K

    Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Lakini akumbuke kuwa alisema muungano wa UKAWA ni wasaka vyeo na tonge. Leo imekuaje?? Muulize tafadhali
  13. K

    Ufisadi chaguzi za CCM vyuo vikuu

    Kwani ACT na CCM hawafanyi kazi moja????
  14. K

    Gavana wa Murang'a akamatwa na EACC ...kazi imeanza Kenya, kamata kamata wezi

    For this i have all reasons to congratulate our neighbour Kenya. Wanaanza kufanya kazi zao vizuri, sisi Watz we have something to learn, hapa kwetu Andrew Chenge pamoja na kukutwa na ushahidi wa pesa ya rada huko Jersey Island, na ESCROW bado anadunda mtaani tena kwa raha zake na kiburi cha...
  15. K

    Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    FaizaFoxy na huyu Mathias Manga ni kada mzuri wa CCM yenu. Ndio wanafadhili CCM Arusha na Tz, labda kwa kua ndio wafadhili wa chama sheria zitapindishwa arudi mtaani kama kawa. Chama Kimeshika hatamu
  16. K

    Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Hao ndio wafadhili wakuu wa CCM mkoa wa Arusha. Hata kama kaua bila kukusudia lakini huwezi kucheza na bastola kwenye uso wa mtu hata kama haina risasi. CCM wamezoea kuoneshana bastola hadharani ukianzia na akina Rage kwenye kampeni, Ditopile kwa dereva wa daladala na sasa Manga kwa kijana wa...
Back
Top Bottom