Search results

  1. R

    Mikopo na madeni nimepoteza amani na watu ninaowapenda. Nimekuwa mzigo kwa familia. Nitasimama tena?

    2018 nilikuwa na ndoto kubwa, niliona matumaini na mafanikio ya kiuchumi. Nilikopa nikawekeza, 2019 mambo yalibadirika biashara zikagoma kwa uzembe na nyingine ilikuwa lazima zife hasa za kilimo mvua ilisomba mazao. Madeni yakaingia yakakuwa , nikakwama siwezi yalipa yote, wadai hawaelewi...
  2. R

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Pole sana, inauma sana ila baada ya muda litapita. Ningumu kusamehe,na huwezi sahau. Ila jua sio kosa lako ni lake, mwili wake na hisia ni zake. Na kafanya akijua utakapojua utaumia, na ndoa itaingia mgogoro lakini akachagua kufanya. Kiakili yeye alijipanga , so ukiweza potezea usiumie kwa...
  3. R

    Binti mjamzito hajaolewa, nini jukumu la mlezi?

    Msaada wapendwa, ninaishi na binti, ni ndugu. Alikuja kuishi kwangu baada ya kusumbua sana kwao kuhusu shule, hata hivyo hapa kwangu shule ilishindika baada ya kushindwa mitihani mingi. Ikafikia asome ufundi veta miaka 3. Alituaminisha amemaliza level zote 3 lakini kumbe mwaka was 3 hakuwa...
  4. R

    Serikali ikajifunze toka St. Francis Sekondari Mbeya kuboresha ufaulu wa kidato cha nne

    Mchujo, selection hawa hawachukui kila mtoto lazima awe na ufaulu mkubwa toka msingi, malipo mazuri kwa walimu, usimamimizi mzuri, chakula kizuri milo 5 kwa siku na walimu wazuri.
  5. R

    Kama taratibu zinaruhusu, shule hizi zihakikiwe

    Mwalimu makini kwa asili ya mtiihani yetu nirahisi kuotea mtihani. Hata mtoto anayejitambua, akifanya paper 10 tu zilizopita akazielewa vizuri anafaulu mtihani kwa A. Maswali mengi yanajirudia. pia hizi shule toka kuanza wanachukua watoto wenye ufaulu mkubwa na wenye ushindani lazima wafanye...
  6. R

    Tatizo lolote la PC/device

    Nashukuru sana
  7. R

    Tatizo lolote la PC/device

    Natumia HP herufi ' t' haiandikiki.
  8. R

    Ukweli kwa walimu

    Mtoa mada rudi nyuma toka ulivyokuwa shule ya msingi na sekondari walioshindwa kusoma sayansi wengi wao walikuwa hawajiwezi, mpaka leo watoto wenye uwezo mkubwa darasani wanasoma sayansi, wachache sana wanasoma arts kwa kupenda wengi uwezo mdogo ndo unawafanya wasome arts. Walimu pia...
  9. R

    Msaada wa haraka jamani, hii kozi ya stahada ya ualimu elimu ya ufundi sekondari ipoje ajira zake ?

    Klerruu kinatoa ualimu wa fundi miaka mingi, hakijaanza mwaka huu. Ni mwaka jana tu hakikuchukua wanafunzi wa ufundi. Nichuo cha sayansi na ufundi
  10. R

    Prof. Ndalichako: Walimu wameshalipwa madai yao yote

    Jamani soma kwanza ndo ushambulie, madai yanayohusu mishahara kasema yapo chini ya ofis ya rais, hayamuhusu. na kamalizia kama kuna madeni nenda ukadai, yaani likizo,uhamisho na mengine kama hayo sio mapunjo ya mishahara.,.
  11. R

    Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Shule sio mwisho form 4, watachagua wanapoenda form 5, tena hii itawapa nafasi kubwa wanafunzi kuendelea. watu wengi wanajuta kuacha masomo ya science form two.
  12. R

    Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

    Kama ni kwa o' level tu namuunga mkono. Ku-opt masomo katika ngazi za chini ni tatizo. Kuna shule wana chagua msomo bila mpangilio mwisho mtoto anamaliza form four anakosa muunganiko wa comb. Pia science inafanya akili ya mtoto iwe active. Wasome yote. Akifika form five atasoma anayoyataka...
  13. R

    Ushauri tafadhali kuhusu wakwe kuongea kilugha

    Lazima wawe na hekima sio kila jambo wanajiongelesha kikwao tu bila kujali kuna mtu hawaelewi, na huwezi kujifunza kama wanaongea wenyewe. Wao ndo wanatakiwa wawe wanamfundisha wifi/shemeji yao. Mimi ishanitokea wamejadili kwa lugha yao baadae nakuja kuulizwa mimi ninamawazo gani, nikwaambia...
  14. R

    Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Hapo kwenye Blue unamatatizo,tena sio kidogo. Ninawasiwasi na malezi yako yaelekea wanawake wote waliokaribu na wewe wanatabia za ajabu.
  15. R

    Mwanaume hupaswi kuoa mwanamke mwenye mtoto kabisa

    Hiyo ni kwa wasiojitambua tu. Sio kila mwanamke mwenye mtoto aliachwa wengine waliachia wenyewe baada ya kujua walikosea. Pia kwa hoja yako basi hata wadada wawe makini kuolewa na wanaume waliozaa kabla ya ndoa maana huwa wanaendelea na mahusiano na wazazi wenzao au waolewe wakijua wana-share na...
  16. R

    Bursar UDSM rudisha fedha za tahadhari (50,000) kwa postgratuate wanaomaliza

    Toka mwezi wa tatu mwaka jana ofisi ya Bursa hapa UDSM, imeacha kurudisha fedha ya tahadhari elfu hamsini(50,000) kwa wanachuo wa postgraduate wanaomaliza, kwa madai kuwa mwanafunzi husika aache account namba watamtumia. Lakini toka kipindi hicho hakuna mtu aliyetumiwa hiyo fedha. Kila anayeenda...
  17. R

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Hakuna mwenye Division one atakwenda kosoma ngazi ya cheti(certificate) kwa field yoyote, iwe ualimu,uhasibu, sheria n.k Rudini mkachunguze na kulinganisha zaidi katika ngazi zote kuanzia certificate mpaka degree kwa field zote entry point zipoje. Ikiwezekana mlete ushahidi wa vyuo mbalimbali...
Back
Top Bottom