Search results

  1. J

    Tehteh inachekesha kuliko vichekesho vyote humu jamiiforum duh!

    Nacho ni kichekesho pia tena cha suprise,.. teh teh teh teh teh,.!!!
  2. J

    Polisi wadaiwa kuua raia Mbeya.

    Jamani watanzania tusiwe RADICALZ Polisi(kama taasisi) haiwezi kuua raia. Kuna usemi usemao '' guns never kill people,but people kil people. Tafakari,..
  3. J

    Kutana na muuza dawa za kulevya aliyeishia kukatwa mkono, mguu

    Muvi ya kihindi nn? Matangazo na nachi zinasindikiza story. Hivi 2meishia Episode ya ngapi,.!? Haya bana j3.
  4. J

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Kitwechembogo- Biharamulo.
  5. J

    Askari police na maamuzi ya mahakama

    Na hizo zinazofika mahakamani zimetokea wapi,.!? Si umesema wanamaliza? Fanya utafiti wa kutosha kabla ya kufunguka,..
  6. J

    Sijui ni udomo zege......

    Hiyo nzuri babu, jamaa ni muwazi sna wote 2ngekuwa wawazi ivo dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi, teh teh teh teh,.!
  7. J

    DCI Manumba akata kauli

    Mungu akuponye haraka, Pole afande,.!
  8. J

    Jamani BIHALAMULO

    Pako poa na wa2 wake ni wakarimu wanaitwa "wasubi" well_come & hav a seat,.! I hope u'll feel @ home,me ndo motherland,.!
  9. J

    Hebu hukumu kesi hii...

    Unaweza kulala hata wiki nzima ucpate ucngizi na unaweza kusinzia bila ya kulala,walopita jeshini wanajua hili,,.!
  10. J

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa ninaamin kuwa wakubwa (wa2 wazima) hawatoi ushuzi a.k.a kujam**,.! Teh,.! Teh,.! Teh,.! kumbe zilikuwa akili za kitoto,! namshukuru Mungu angalau nimekua sasa,.!
  11. J

    Hawa wajita ni watu hatari saana!

    Kaiiho kanu anu,.!
  12. J

    Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar

    Wazee wa "LEGGUM BACCARAULES" Fungukeni basi,.!
  13. J

    Benki gani ni rahisi kufungua account

    BoT Babu hata foleni hakuna,.!
  14. J

    Important, please Read! TANESCO warning issues to share with you!

    Ooh,.! So sorry but thanks 4ur information.
Back
Top Bottom