Search results

  1. M

    Kwa waliosoma Udom

    Watoto wa shule tafuteni maisha acheni kutafutana.
  2. M

    Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

    Napelina Nnauye,na wewe ulikuwa safarini nje ya nchi?maana naona wewe na Mwigulu mlikua kimya sana,toka Marando awaumbue,au mlikua hollywood mkiandaa mkanda mpya wa kisasa zaidi dhidi ya Lwakatare.
  3. M

    Nape kuunguruma Igunga leo

    Lori zote za kubeba mahindi pale kibaigwa,zinaelekea igunga zikiwa zimesheheni watu wa kijani na njano.
  4. M

    Hatimaye nafasi za jeshi kwa professional zatoka

    Jeshi la waasi wa nchini kongo(M23) limetangaza nafasi 700 kwa proffesional(vijana wenye taaluma mbalimbali)ili kuweza kukabiliana na upinzani mkali unaotarajiwa kutoka katika vikosi vya UN,ambavyo vimepewa uwezo wa kupambana na waasi hao.Akiongea kwa kujiamini mkuu wa M23,bwana Sultani Makenga...
  5. M

    Mwachen Mungu aitwe Mungu

    Mpaka mpate shida ndio mnatubu!
  6. M

    Juu ya Punguzo la Kodi katika Mishahara ya watumishi, Serikali ni waongo!

    wabongo kwa sifa,mtu anasema analipwa basic 930,000,alafu eti anjifanya analalamika,wanaolamba 150,000 kwa mwezi watasemaje.
  7. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Bendera anayojifunga Lameck Mkumbo(Mwigulu)imeviringishwa na hirizi.Ushahidi upo,mambo yakitulia ipo siku tutaweka wazi watanzania mjionee miujiza ya huyu bwana.
  8. M

    Sheikh Ponda na ustaadh Mukadam watoa tamko kali.(Ponda amsifia Zitto Kabwe)

    Ponda issa Ponda ni gaidi nambari wani, kama chama cha mapinduzi
  9. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    We umeona wapi,mnyiramba ana majina ya kisukuma.Kama mtu anaweza kulikana jina lake halisi,anawezaje kupigania maslahi ya nchi,Lameck Mkumbo ndiye anayejiita Mwigulu Nchemba(period)
  10. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Hakika kuishi katika pori la Misigiri kwa miaka miwili,ulikuwa ndiyo mwanzo wa safari ya matendo ya kigaidi ya bwana Lameck Mkumbo,ambaye hujiita Mwigulu Nchemba,
  11. M

    EXCLUSIVE: Agness Masogange the Video Queen aongea ya Moyoni kuhusu picha zake chafu

    Huyu binti kwanza alikuja mjini kama beki tatu,lakini kaishia kuuza mbunye,kweli elimu ni ufunguo wa maisha.
  12. M

    Kampala International University (KIU) chafungiwa na TCU

    Nakwambia hivi,hakuna MBA ya miaka miwili Tanzania,huo mi muda tu ambao unatakiwa uwe umekamilisha course yako,lakini yaweza kuwa chini ya hapo.
  13. M

    Kampala International University (KIU) chafungiwa na TCU

    We endelea kuwadanganya wasiojua tu.MBA ya miaka miwili? Mtaala wa china au urusi huo.
  14. M

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Somalia nao ni mfumo kristu ndiyo umewafikisha pale dada yangu?
  15. M

    Mdomo wa LEMA ni hatari kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla

    Lukosi,miaka hii iliyobaki utateseka sana,kama mabwana zako wapya CCM wanavyoteseka.
  16. M

    Waliokamatwa na mizoga ya nyani,waenda jela miaka 7

    Mahakama ya wilaya ya mpanda,imewahukumu watu wapatao 21 kwenda jela miaka 7 kila mmoja,baada ya kukutwa na kosa la kumiliki isivyo halali mafurushi ya mizoga ya nyani, ambayo ni nyara za serikali. Je pembe za ndovu na mizoga ya nyama za nyani ipi yenye thamani kubwa? hadi kufikia hali ya...
  17. M

    Mwenyekiti UVCCM Itisha kamati tendaji haraka,Katibu Mkuu Shigela ameutia aibu Umoja wetu

    Inashangaza sana kuona kiongozi mtu mzima, katika jumuiya ya vijana(UVCCM) kwa wakati huu ambapo chama kinaelekea kuangamizwa na wapinzani hasa kwa hoja kali bungeni na kwa wananchi kwa ujumla, wewe ukiwa unawaza kwenda kupumzika na kijana mwenzako katika visiwa vya marashi Zanzibar, ili kutumia...
  18. M

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Kwa ccm hadi ukiwa na miaka 50 bado unaonekana dogo tu,refer kikwete 2010 na Le mutuz 2013,Na hiyo inatokana na upeo mdogo wa kufikiri ndiyo maana Shigela anajiona bado damu changa ili aendelee kuwatafuna vijana wa Uvccm.
  19. M

    Ni hatima ya CHADEMA ndani ya jiji la Mwanza?

    Vile vile kuna mtu anaitwa Martin Shigela,sms zake zimedakwa anataka akapumzike na mke wa mtu visiwani Zanzibar,huu nao ni ugaidi wa mapenzi mkuu au?
  20. M

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Bora wachukue tahadhari mapema,maana hata huku Uvccm tunashuhudia "Reuben martin shigela" anavyopumzika na vijana wenzake.
Back
Top Bottom