Search results

  1. M

    Kaachana na mke wake, wazazi wa mwanamke wamemkabidhi mdogo wake

    Jamani kuna jamaa yangu alikuja kuomba ushauri yeye alioa akaishi na mke wake mwaka mmoja,baadae mke wake akaanza tabia za ajabu ajabu jamaa baada ya kulalamika kwa wazai wa mwanamke mambo anayo fanyiwa na mke wake. Wazazi wake wakamwambia huyo hamuwazani ngoja tukubadilishie mdogo wake jamaa...
  2. M

    Najuta kuharibu ndoa yangu

    Kuna Dada mmoja nimetokea kuzoeana nae maeneo tunakofanyia kazi hata yeye ni Mjasiriamali mzuri tu. Siku moja nilimkuta amekaa peke yake akionekana ni mtu mwenye mawazo mengi nikajaribu kumdadisi nielewe kinachomsumbua kichwa maana kama ni kipato anacho cha kumuendeshea maisha. Aliamua kunipa...
  3. M

    Jamani hawa wanafunzi usipo kua makini unaweza kuozea jela

    Salaam wandugu leo nilikua maeneo fulani nimetulia natafakali mara akatokea mtoto wa kike anasoma shule ya msingi. Mtoto alikuja kwa mapepe akanizoea kwa muda mfupi katika maongezi alianza kuingiza mambo ya mapenzi na kuanza kuniuliza maswali kama nina mpenzi mara nimesha tembea na...
  4. M

    Nahisi utaniacha mda wowote kwa sababu hujatumia gharama kubwa kwenye mahusiano yetu

    Wandugu habari zenu kiufupi nina mchumba wangu ambae tumeahidiana kuoana endapo mungu ataendelea kubaliki uchumba wetu kiukweli uyu dada nampenda sana sikumoja katika mazungumzo yetu nikijaribu kumdadisi kuhusiana na uchumba wetu wapi tunakosea na wapi tuko sawa ili tuweze kulekebishana katika...
  5. M

    Amuacha mchumba wake kisa kumkuta baa

    Habari zenu wana jamvini ninarafiki yangu alikua na mchumba wake na alikua amesha mtolea mahari tena mahali ndefu iligharimu 2000000 kipindi wanaanza mahusiano Dada wa watu alionesha tabia nzuri upole, unyekevu, heshima, upendo kwa watu wakaribu wa jamaa yetu pamoja na kujiheshimu kiukweli...
  6. M

    Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

    Habari wana jamvini kunadada mmoja jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee eko. Kwake yeye ameona...
  7. M

    Mdogo wake shemeji yangu anajirengesha

    Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni mtafune
  8. M

    Ex-girl friend wa rafiki yangu anataka tuoane

    Habari wana jf mimi nina rafiki yangu wa karibu sana alikua ana mpenzi wake walikua wanapendana sana.Ila hasa hasa alieonesha upendo wa dhati ni binti ambae alijitorea mambo mengi kwa ajiri ya huyu jamaa yangu kwani kwao na binti angalau mambo si mabaya na waliweza kukaa kwenye uhusiano...
  9. M

    Anataka tu date to ila tusioane

    Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili tufunge ndoa.Ila amesema yeye hayuko tayari tuachane kwahiyo anadai tuendelee ku date kama kawaida kwani...
Back
Top Bottom