Search results

  1. critique

    Maaskofu wasusia mwaliko wa JK

    I doubt if they are after harmonious society I'm afraid this election will bring more religious hatred......creating dangerous future.
  2. critique

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    Dah mwanawane....kwa hiyo hizi ndugu ni kama renal malaria... rarest case in medicine.Halafu dawa za Malaria ni filterable kwenye Bowman's capsule,ina suggest ukweli kwamba wafa nayo ikikupata that kinda malaria.
  3. critique

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    Aisee kumbe kuna mashairi ya aina nyingi sana...Big Up Kamnda
  4. critique

    Maaskofu Katoliki watoa waraka mwingine 2010

    TEC mulikuwa wapi kipindi cha Mkapa?Maana madini yamechotwa sana kipindi hicho bila kelele...au ndio Kikwete kaleta uhuru wa maoni Nina shaka sana uelekeo utabadilika 2015...CCM ikaanza kuwa tamu tena
  5. critique

    Elections 2010 Shein ajitoa kinyanganyiro cha Urais Zanzibar

    Ndio ilivyo kwa kila anaepata madaraka ya inji hii Angalia kule Arusha,K/njaro...barabara hadi kwenye mikahawa.Mrema ndio alipeleka hadi getini kwake barabara inayotoka main road.Mambo ya KIA,AICC etc ni influence ya u home boy..na wa kule kusini ndio hivyo tena,,Mkapa kawakumbuka na the Mkapa...
  6. critique

    Kipindi cha Al Jazeera Witness Special kilichozuiwa na ITV

    Acha kabisa hiyo maneno ya kijijini. Nilishawahi kukaa somewhere Mtwara ndani huko,dah...jamaa wanaingia kwa nyumba bila hata taa even ya kibatari(Gaijin sijui kama wajua hii..hehe)..halafu takribani mwezi inafululiza.Misosi ni kutegemea typically raw material...mama arudi na kisamvu na...
  7. critique

    What is the Simply Formular for memorizing the 20 basic AMINO ACIDS?

    Habari zenu wakuu Mimi nafikiri ndugu Kaboka yuko right kutumia hii forum ya elimu kuuliza vitu kama hivi...... kutaka msaada wa mnemonics ni jambo la kawaida hususwan katika fields kama medicine.....na wala si dalili ya uzembe kama baadhi wachangiaji wanavyotaka kuonesha........waliosoma...
  8. critique

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kuelezwa vizuri katika Quran si hoja kuwa kusikuwepo mahakama ya kadhi,ikumbukwe hii field pana kama zilivyo zingine katika Quran na hadith,kuna ambao wana PhD katika hiyo field.Kadhi ni mtu mwenye hiyo taaluma na anahukumu kwa mujibu wa mafundisho na mazingira ya tukio husika. ? Bro ...hapo...
  9. critique

    Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(HESLB)

    Heshima mbele Bimkubwa... nimekuelewa vema. Sijui twafanyaje kuthibitisha hiyo claim kuwa hao vijana walilazimishwa,ila nakumbuka siku huyo kijana anaongea na mzee Rajabu pale wizarani kwamba abaki asome computer science pale UDSM mimi pia nilikuwepo,Mzee Rajabu akamwambia " mimi nilikuwepo...
  10. critique

    Attention Bodi Ya Mikopo Ya Elimu Ya Juu Kwa Wanafuzi(HESLB)

    Bimkubwa taratibu kidogo...... Kuna vijana wako China wananieleza kuwa hawakuwa radhi kabisa kwenda huko kusoma ila walilazimishwa na wizara husika ili kumantain diplomatic relationship,hao vijana kwa sababu ya hofu ya kukosa vyuo walilazimika kujaribu sehemu nyingi ikiwemo vyuo vyetu kule...
  11. critique

    Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

    (((1. Nimekwenda Texas Heart Institute wakati huo nimeshakuwa Registered na Medical Council of Tanganyika in 1995 as a Thoracic and Cardiovascular Surgeon baada ya kuwa nimesomea Shahada ya Udhamili katika Upasuaji wa Kifua, Moyo na Mishipa ya Damu (Masters of Medicine in Thoracic and...
  12. critique

    Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali

    Asante kwa message yako. Nilikuwa sijui mtandao wenu hadi majuzi nilipoongea na Mr. Mstsimbe na kuniambia kuhusu suala hilo. Baada ya hapo nilifanikiwa kuingia kwenye mtandao wenu na kukuta mambo mengi sana. Kifupi ni kuwa nisingependa kujiingiza kwenye malumbano au majadiliano yenu na wala...
  13. critique

    Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

    Kevo heshima mbele.... Zile reply posts za mwanzo ziliashiria kukumbusha kile kilichopo hapa ukumbini, kuwa kila mwenye kujaribu kuhusisha jambo lisilopendeza kwa Mwalimu JKN atashambuliwa na wajuzi wa uchambuzi humu ndani kwa namna isiyofanana na the same jambo likielekezwa kwa asiyekuwa...
  14. critique

    Lowassa anasafishwa!

    BRAVO...... Mchongoma, Huenda MwenyeziMungu angewasamehe hayo makosa yao,mimi nawasihi sana kutubia kwa huo ufisadi kwa angalau kuwatendea mema waliowaibia hizo pesa kuliko kuendelea na njama za kifisadi ambazo mimi nahisi zaelekea kubaya,huku kusalitiana ndani ya chama tawala na fitna...
  15. critique

    Vita Kati Ya Urusi Na Georgia....!

    Hapo mkuu wanikumbusha siku moja kigogo mmoja wa UNHCR aliulizwa kwa nini wakimbizi wa vita vile vya Kosovo walipewa huduma safi,ikiwa ni pamoja na chakula safi kama home,ma blanket,jackets na malazi bora kuliko wanavyohudumiwa wakimbizi wa kiafrika;jamaa akajibu kuwa wanahudumia watu kulingana...
  16. critique

    ~ Kamtumbwi alikokataa Kikwete ~

    Hii yanikumbusha siku moja nipo kule Bongo,DW-swahili news walizungumzia nchi zinazoongoza kwa ughali wa gharama za kupiga na matumizi makubwa ya simu duniani-Tanzania ilikuwa ya mwanzomwanzo katika top 10(nimesahau ilikuwa ya ngapi),yasikitisha sana.Jamaa washastukia kuwa yalipa sana...
Back
Top Bottom