Search results

  1. K

    Nahodha, Shamuhuna NA SHAHADA ZA MKONONI!!!

    Na mimi naongezea MAWAZO DUNI. Raha ya sehemu nyingine waijua weye??????
  2. K

    Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

    Mimi kila siku nasema humu humu ndani, KIKWETE kakumbana na matokeo, tunamlaumu bure mtandao wa majambazifisadi kuuondoa lazima uwe makini na subira sana. basi tu tumeamua kuwa OPP.
  3. K

    Ushauri

    Sorry sijafika mwisho wa michango ya watu wengine. hilo hapo juu limenuima sana. kumsingizia mumeo eti kakaa kimya atafute sababu ya kutoka nje SIKUBALIANI NALO BINAFSI, kwanini mnamtuhumu mtu msie mjua???????. KOSA KUBWA ulilofanya kama nimekupata vizuri ni kutompa taarifa huyo ex wako kuwa...
  4. K

    ~!~Sambusa ni tamu bwana~!~

    Mwanakiji umeyachokoza hizo shukrani zito kwa mistari. Very interesting and impressing watu wana vipaji bwana, nakumbuka malenga wetu sijui bado hii programm ipo? maana vijiredio vimekuwa vingi mpaka tunashindwa nini tusikilize
  5. K

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kweli bwana kwanini sisi tuende kwao kwa passport alafu wao waingie tu hovyo hovyo??????
  6. K

    Maimartha wa Jesse na bwana yake watapeli mamilion ya pesa

    Kinachonifurahisha, nyie wote mnaolumbana si wageni kama mimi, hamna zaidi ya miezi mitano lakini tayari mnajifanya wenyeji. Are there any rules regarding posting? Tafadhari sisi wageni tuelimishwe.
  7. K

    Je Ze Komedi imenunuliwa na Mafisadiz?

    kama una maanisha unachotetea then leta hoja with evidence...una haki ya kutoa maoni/fikra zako
  8. K

    Je Ze Komedi imenunuliwa na Mafisadiz?

    Yaani wewe, sijui umeyasoma mawazo yangu na au post yangu iliyopotea kimiujiza?
  9. K

    Nipo njia panda

    Amelie Pole sana na hongera kwa kupata ushauri. Kwa upande wangu kama ningekuwa nikupe ushauri ningepata wakati mgumu SANA, au ningekupa ushauri kwa kurefer kwenye incidence nyingine. sababu ni kwamba siamini kama kutofautiana siku moja tu tena kwenye kitu kidogo ndio ingepelekea wewe uombe...
  10. K

    Je Ze Komedi imenunuliwa na Mafisadiz?

    Sasa hivi hata mtu akiumwa na mbu atasema ni mafisadi, some time we are comparing incomprable, mafisadi wawanunue ze comedy kwa lipi? Akija mtu na pesa yake na kuwaambia njooni mfanye shooting hata kwenye jengo langu nitawalipa wakate eti kwakuwa jamaa annathuhumiwa na ufisadi. Jamani jamani...
  11. K

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Bwana DOMO un ayo haki ya kuyasema hayo yote, sikutofautishi sana na ze utamu kwa kubase kwenye picha unayojitambulisha nayo, TYPICAL ZE UTAMU.
  12. K

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    teheee teheee labda ni wahathirika wa the uchungu
  13. K

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    LENGO LENU WEWE NA NANI? Hivi ina maana JF ni taasisi ya chadema? nifananulieni jamani nisije kuwa nimeingia choo cha kiki/kiume kwa kujiunga humu. Kwa ufupi bila kujali itikadi yangu na wafuasi wangu nwasiokufungamana na upande wowote, nadhani kujiuzuRu ni kushindwa vita na sio ushauri...
  14. K

    Mkapa na kiswahili

    Wewe ndio bure kabisa, yaani mtu asisifiwe kwa mazuri yake? hao watanzania wenzako unaotaka waamke kwa style yako tuendelee kulala. Mimi bwana Che Mkapa kwa lugha namuaminia sana CTERI PARIBUS
  15. K

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Kwani na mimi ninalo? AIBU TUPU
  16. K

    Besides sex, these are other Reasons to Why Men cheat...

    First Lady, mbona kimya? au mada haijakugusa maana ndio maeneo yako haya
  17. K

    Kazi nzuri ITV, Said Mwema

    kaama kweli vile? Sasa iakuwaje watu wanapokuwa tofauti na nyie wanafutiwa post zao? USILOGWE UKAISIFIA CCM Sijui na hii iatafutwa kabla haijasomwa?
  18. K

    Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

    Watanzania bwana? yaani suala la ukumbi awajibike mkurugenzi mkuu? Nimeishiwa pumzi miye
  19. K

    Amatus Liyumba: Balaa!

    Hapo patamu kweli kweli kweli, kamuambikiza binti yake indirect. Kumbe mtu unaweza kumuambukiza kaka, dada na mzazi wako kwa mtindo huo
  20. K

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Akili ya huyu mzee anaijua mwenyewe .Mie hata siku hizi kumsoma ama kumsikiliza akiongea sina muda tena .Ni mtupu wa ajabu . CONTRADICTIONS TUPU HAPO SIJUI NIAMINI nINI
Back
Top Bottom