Search results

  1. VOICE OF MTWARA

    Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Hizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanza
  2. VOICE OF MTWARA

    Ni hatari sana hadi leo Simba hawajajua tatizo liko wapi mwaka wa 3 huu utopolo wanabeba ubingwa

    Wengine wanasema "hizi ni laana za mgunda, matola anahujumu makocha wakuu, Enonga aachwe anajivunja, tatizo onana ni sharobaro, che maloni aachwe"
  3. VOICE OF MTWARA

    Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

    Shehani Rashid(pemba), waziri mahadhi nchi ya tanga
  4. VOICE OF MTWARA

    APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

    hii sasa dharau. yani APR nao wamtake Azizi Ki!!
  5. VOICE OF MTWARA

    Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

    Hivi hawa huwa wanatokea wapi? Na ni kweli huwa wana mapenzi na hizo timu au unafiki tu?
  6. VOICE OF MTWARA

    Hii nafasi ya tatu haimponyi Simba!

    Leo yanga amecheza kikubwa mno, hakutumia nguvu nyingi, amerelax na kutumia nafasi vema
  7. VOICE OF MTWARA

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Mbona mwamunyange alikuwa mkuu wa jkt baadae akawa cdf?
  8. VOICE OF MTWARA

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Hivi samata na lunyamila nani ni nani?
  9. VOICE OF MTWARA

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Hasan rehan Bitchuka, maalim Gurumo, meja jenerali chacha mwita waitara?, Bibi Titi mohamedi, hashim mbita, salim ahmed salim, Jaji Rugakingira
  10. VOICE OF MTWARA

    Kumbe Azam amecheza leo?

    Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
  11. VOICE OF MTWARA

    Dar es salaam: Uzuri uliojificha

    Tupia na ile ya uwanja wa taifa waliyoipost Al Ahly ikazua gumzo
  12. VOICE OF MTWARA

    Serikali ipo tayari kununua Mashangingi kwa bilioni 190 ila mabasi ya Mwendokasi hela hawana

    Na kwanini hao wakuu wa wilaya wasitumie toyota land kruza haditopu ambazo bei si kubwa sana, imara na wanaweza kubeba mkaa wakiwa wanatoka field?
  13. VOICE OF MTWARA

    Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

    Huu ni uongo, kwa hiyo washabiki wa simba wakisema azizi ki, pakome, shalulile na yule kiungo mfupi wa mamelod(wa latin Aemerica) wasajiliwe basi atawasajili bila kipingamizi?
  14. VOICE OF MTWARA

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Jana fred amekosa goli la wazi yeye na kipa. Je yanga anahusika na makosa hayo?
  15. VOICE OF MTWARA

    Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Njaa zetu ndio chanzo cha matatizo plus ujinga. Ila kiukweli umiliki na uwekezaji wa simba ni jambo lisiloeleweka kabisaa
  16. VOICE OF MTWARA

    Ni nyimbo gani unaipenda ila huwezi sikiliza mbele ya watu

    Wimbo (umoja) Nyimbo (uwingi) Watu wengi wanachanganya hapa
  17. VOICE OF MTWARA

    TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Rip Nuhu. Nakumbuka combination yake na Ndanda kosovo, Patcheko Mbongo, patcho mwamba, serge mwela ilikuwa balaa
  18. VOICE OF MTWARA

    Nawachukia na Kuwatania sana JF, ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

    Nilichojifunza hii michuano ina wenyewe. Kuna timu maalumu zimepewa haki ya kuchukua au kufika hatua za juu 1. Angalia hata upangaji wa droo ya nusu fainali, ni kama timu fulani zinazojiona kubwa zilipanga zikutane na nani. Dròo inakuwa kama geresha tu. Walofanya hivyo wakidhani watapata matokeo...
Back
Top Bottom