Mchezaji gani wa nje amekuwa bora zaidi wa muda wote kwako?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,865
3,579
Yes.

Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa

Musonda
Francis Kahata
Yaw Berko
Amis Tambwe
Haruna Niyonzima
Tuisila Kisinda
Ntibanzokisa Saido
Bernard Morisson
Ramadhan Waso
Kanoute 'Putin'
Constantine Kimanda
Ben Mwalala
Doyi Moke
Kipre cheche
Banza Tshikala
Aziz K
Moloko Jesus
Mukoko Tonombe
Tshibobou
Pacome Zouzoua
Donald Ngoma
Kalala Mayele
Mordon Malitoli
Pape Sakho
Kichochi lemba
Michael Sarpong
Prince Dube
Chirwa Obrey
Aucho Khalid
Mafisango Mutesa Patrick
Felix Sunzu
Patrick Katalay
Meddie Kagere 'MK14'
Youthe Rostand
Ambani Boniface
Djigou Diara
Inonga
Nonda Shaaban
Chemalon
David Molinga 'Ndama'
Amis Tambwe
Emmanuel Okwi
Fanbulleh
Pitchou Kongo
John Baraza
Chama Clatous
Patrick Ochan
Tshitshimbi
Carlinhos
,,,na wengine chungu nzima

Mchezaji au wachezaji wa ligi kuu nchini bora zaidi kwako wa muda wote.

Namm nitaweka wangu hapa.
 
Emmanuel OKWI hana mpinzani hapo.
Kwanza alikaaa muda mrefu kwenye ligi.
Pili alipita Vilabu Simba na Yanga kwa mafanikio.
Tatu alikaa kwenye ubora wa kufumania nyavu kwa kipindi kirefu zaidi.
Nne nidhamu ya hali ya juu.
 
Yes.

Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa

Musonda
Francis Kahata
Yaw Berko
Amis Tambwe
Haruna Niyonzima
Tuisila Kisinda
Ntibanzokisa Saido
Bernard Morisson
Ramadhan Waso
Kanoute 'Putin'
Constantine Kimanda
Ben Mwalala
Doyi Moke
Kipre cheche
Banza Tshikala
Aziz K
Moloko Jesus
Mukoko Tonombe
Tshibobou
Pacome Zouzoua
Donald Ngoma
Kalala Mayele
Mordon Malitoli
Pape Sakho
Kichochi lemba
Michael Sarpong
Prince Dube
Chirwa Obrey
Aucho Khalid
Mafisango Mutesa Patrick
Felix Sunzu
Patrick Katalay
Meddie Kagere 'MK14'
Youthe Rostand
Ambani Boniface
Djigou Diara
Inonga
Chemalon
David Molinga 'Ndama'
Amis Tambwe
Emmanuel Okwi
Pitchou Kongo
John Baraza
Chama Clatous
Patrick Ochan
Tshitshimbi
Carlinhos
,,,na wengine chungu nzima

Mchezaji au wachezaji wa ligi kuu nchini bora zaidi kwako wa muda wote.

Namm nitaweka wangu hapa.
Lionel Messi.
 
Mimi ni Yanga ila Okwi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kucheza soka la Tanzania.

Yaw Berkooo, mpaka sasa sijaona kipa mzuri Yanga kama Yaw Berko ktk kipindi chake. Huyu Mghana alikuwa anajua kuzilinda nyavu.
 
Mimi ni Yanga ila Okwi ni mchezaji bora kabisa kuwahi kucheza soka la Tanzania.

Yaw Berkooo, mpaka sasa sijaona kipa mzuri Yanga kama Yaw Berko ktk kipindi chake. Huyu Mghana alikuwa anajua kuzilinda nyavu.
sana

jamaa alikuwa anawaletea mabalaa sana yangamashabiki wa yanga wa kizazi hiki hawatakaa wamsahau huyu jamaa
 
Ebwanae, hakuna mchezaji aliyenikonga kama haruna niyonzima. Uchezaji is an art. Sikuwahi kuchoka kumuangalia alipokuwa anacheza. Kwa lugha nyingine, mpira ulimpenda kuliko yeye alivyoupenda. Alikuwa analicommand gozi na lilikuwa linamtii kwa utuo. Pasi zenye maono zilikuwa zinatumwa na kufika, penetration pass zake zilikuwa hatari mno, next level penetration passes. Juu ya yote, control kwake ni SANAA. Alikuwa analetewa pass ya chuki na kuu control mpira na ukamtii, kisha kupiga one damn merciless killer pass. Bila shaka ninaamini mwamba alikuwa underrated. He's my favourite among midfield maestros.
 
Back
Top Bottom