Search results

  1. K

    Ofisi ya CAG ilikuwa wapi ktk huu ufisadi nchi nzima?

    Majukumu ya CAG yameainishwa na katiba. ==>Jukumu la kwanza- Kwa mujibu wa Ibara 143(1), CAG anawajibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha kutoka mfuko mkuu wa Hazina ya Serikali baada ya kuhakikisha kwamba fedha zozote zinazokusudiwa kutolewa kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali matumizi yake...
  2. K

    Operation ondoa wahamiaji haramu ifanyike nchi nzima wakati mmoja

    Ndugu wanaJF, Mimi naona zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu linaweza lisiwe na TIJA kwajinsi linavyoendeshwa. Kuwaondoa wahamiaji haramu nchini zoezi hili lazima lifanyike mikoa yote wakati mmoja otherwise utakuwa mchezo wa paka na panya. Operation inafanyika Kagera watakimbilia Lindi au...
  3. K

    Deni la taifa

    My contribution to your research is herewith. Read CAG Reports 2011,2012 and also check this link where you will get Debt-to-GDP then you can extrapolate given GDP! Read more:http://www.gfmag.com/component/content/article/119-economic-data/12370-public-debt-percentage-gdp.html#ixzz2duHMMf1i...
  4. K

    Ofisi ya rais yatumika kupora mali za wananchi

    Mama nae siasa nyingi, mimi nina hati za viwanja pale block 22 kibada kuanzia muda cha kushangaza kunajamaa mwingine amepewa hati palepale plot 100/101 na wizara. mama anajua lakini nae hakuna kitu... usalama wa taifa na ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali fanyieni kazi swala hili watu wanashindwa...
  5. K

    Shock as Russian President Vladimir Putin refuses to meet ICC suspect Uhuru Kenyatta.

    Did you manage to secure monies for the new railway projects? tell us good stories from the visits if any.
  6. K

    Stupidity Test

    It is one number so you cant have smallest number within it! The difference if any arises from font size of the digits!
  7. K

    Zitto kabwe awataka wananchi wagome kuilipa kodi ya simu ya sh. 1000.....amedai kuwa kodi hiyo ilipi

    Aisee, hii ni hatari sana. Ningependa kujuzwa unakwepaje au unaigomeaje kodi ya simcard? Mh. atupe njia anayoiona inafaa ili wananchi waifuate otherwise this is political play. Nijuavyo mimi hili kugomea kodi hii una njia moja tu kutoweka pesa kwenye simu yako au kwa maana nyingine kutopiga...
  8. K

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Mimi ninatofautiana na wewe kwenye red.... Uhuru, heshima na uwepo wa Tanzania unahitaji kulindwa hata kama nchi tatu za Rwanda, Uganda and Kenya zikiungana dhidi yetu. Watanzania wana wajibu wa kujilinda kwa gharama zozote zile. Kwa Muktadha huo tusisite kulinda nchi yetu na heshima ya nchi na...
  9. K

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    It hurts to see such slanders directed to our Command-In-Chief and respectable President of the United Republic of Tanzania. Anyhow the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and office of president are responsible to demand explanations of such disrespectful utterances to our...
  10. K

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Je kati yake na katibu mkuu nani amepotosha umma kuhusu msimamo wa chadema kwenye dhifa?
  11. K

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Jibu hoja hizi hapa chini za Mzee Mwanakijiji.... "Masaa machache kabla ya habari kuwa Mbowe amekubali mwaliko na amehudhuria dhifa ya Obama Katibu Mkuu wa CDM Dk. Slaa akinukuliwa na gazeti la Mwananchi alinukuliwa kusema kuwa chama chake hakikupokea mwaliko wowote wa kuhudhuria...
  12. K

    KASHFA WIZARA YA AFYA: Yaajiri zaidi ya 'Madaktari' 80 wasiokuwa na sifa

    Je swala la afya ni la muungano? nielimisheni
  13. K

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Robert Kisena na Rubuye ni nani hapa Tanzania? Asili yao ni wapi? Kwanini wanaandamwa sana? Biashara zao ni zipi hasa? Ziliazaje, zinaendeleaje?
  14. K

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Unajifanya hauelewi kilichondikwa na mtonyaji hapo juu.... ndiyo walewale!
  15. K

    Hotuba mbadala ya bajeti kambi ya upinzani 2013-2014

    Upload kama attachment kama ilivyo, kiongozi.
  16. K

    Hotuba mbadala ya bajeti kambi ya upinzani 2013-2014

    Mkuu unaweza kunipatia hotuba yote in full. Asante
  17. K

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Kwa post hii unadhani Tanzania haijui ilichokisema? I dont so it is your myopic view that fails you to take us Tanzanians on the matter. By the way, this is not an issue for JK alone it is our business and we will defend our interests against Rwanda whatever it takes!
  18. K

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Tanzania is in DRC and our enemies are M23, Kagame and allies so JK's statement was critically important amid of our role in Congo. We are in Congo in a MUST win mission, petty disrespectful dictator Kagame and allies Must know that. I strongly advise our security instruments to deal with him...
Back
Top Bottom