Search results

  1. M

    Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Vp kuhusu uwepo wa wakuu wa wilaya na mikoa rasimu imesemaje?maana ni makada wa ccm hawa.
  2. M

    Dr. Slaa na Mbowe wajibikeni mauaji M4C: Makonda

    Makonda ni nani?c yule ambaye degree yake ni ya upishi au mwngne,
  3. M

    Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Wewe hujui,mariam msabaha hotuba zake kiboko.
  4. M

    Mikutano ya Zitto na Dr Slaa - Zitto apata mamia, Slaa apata makumi

    Nadhan dada lukosi unakosea sana,cdm ni moja tena the strongest party in tz hakuna cdm babu wala cdm zitto ninachokiona ni watu wanamuenjoy tu zitto bt wanapenda chama zaid.
  5. M

    Mgimwa anaendeleaje?

    Navuta picha uchaguz mdogo pale kalenga utakuwa mtifuano na itakuwa cdm vs magamba.
  6. M

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Aaaah!pale mafinga seminari kuna m2 alikuwa anaitwa mfalme jeta alikuwa mbabe sana alitutia vboko sana tulipoleta ubabe wa form 2 wakati huo ni senior pale,maisha yale yalileta uzalendo kama operation tokomeza.
  7. M

    JKT Watangaza wanaotaka kujiunga na jeshi

    Aaaaah!nafasi 9?inakera au ndo kutengeneza fedha kwa rushwa maana vjana watahonga xana.
  8. M

    Mgimwa anaendeleaje?

    Mzee amekuwa saved by jesus anakunywaje bia tena watu hamna huruma
  9. M

    Mgimwa anaendeleaje?

    Kuna tetesi mzee hali yake haizungumziki
  10. M

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Ni kweli jk jr katuasa tusameheane lakn kwa mzee jumbe ni nadra kusamehewa kwani ccm hawaamin ktk serikal tatu.
  11. M

    Tundu Lissu ashindwa kufanya mkutano Kiomboi, Iramba Viongozi wakerwa na tabia yake!

    Mmmmh!Mheshimiwa tundu lissu nampenda jaman msimchafua,he is a good lawyer and understable man.
  12. M

    Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Nadhan huyu mzee alitaka kutumika na mwl alipokataa kuwasaliti wazanzibar akatupwa kigambon pale na mwaka huohuo katiba ikabadilishwa kipengele cha rais wa zanzbar kuwa makam wa rais ktk SMT
  13. M

    Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

    Kwani local maana ake nini hebu nisaidiwe
  14. M

    Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

    Ni kweli ngoja tusubr lakn kama ni kweli cdm tunapaswa kujitazama upya na kinachoitwa maamuzi magumu.
  15. M

    Tetesi: Mbowe kuhutubia wakazi wa Mji wa Songea kesho

    Kila la kheri wewe baba mbowe,vijijini ni muhimu kufika pia maana ndiko waliko wapiga kura wengi na waaminifu.
  16. M

    CCM na ndoto ya kulinyakua jimbo la Iringa Mjini

    Pale iringa mjini ni pipoz bt msigwa ajitahd kuimarisha chama kwenye majimbo mengine mkoani iringa kama afanyavyo lema pale arusha.
  17. M

    'Mashujaa' hawa ndio walioipa CCM 'Ushindi wa kishindo' Arusha...

    Pole Tesha kwa kutumiwa kisiasa na mafisadi.
Back
Top Bottom