Search results

  1. Lady Capricorn

    refreshing!

    Hey Resi: Thank you very muchly :) You know how we bloggers live for this kinda recommendation. Aisee: jisikie huru kabisa kutoa maoni yako kwenya blogu- ninajibu maswali na comment zote. Bonge la High Five, and may your endeavors meet with success. Cheers, Ze Mikocheni Reporter.
  2. Lady Capricorn

    The two sides of Tanzania’s president

    Ninashukuru kwa maoni yenu. kama mwandishi wa opinion piece husika, na matanzania mwenzenu, na isitoshe mwana-JF, ninaomba angalau tuwa na discipline ya ku-post maandishi yote kama yalivyo ni siyo nusu nusu kama alivyofanya mwanzilishi wa thread. maneno yangu yote yanapatikana kwenye blogu...
  3. Lady Capricorn

    How to use JamiiForums effectively

    Hi Mods, I love the freedom of expression allowed in JamiiForums so keep up the good work. My question is this: is there some kind of quality control here? I just saw a post about a private citizen whom I know personally. This post is harmful and completely untrue, and the poster hasn't had...
  4. Lady Capricorn

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu

    A good thing to do would be to list all permanent secretaries and see their CVs and compare them to those of their political overlords. Where can PS profiles be found?
  5. Lady Capricorn

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    Future-Tanzania, now we are talking. If the problem is forced marriage, why not call a spade a spade and say that you are against forced marriage because it goes against a woman's right to choose? forced marriage to a monogamist is not much more fun than forced marriage to a polygamist, my...
  6. Lady Capricorn

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu

    Fair enough, ni kweli kwamba inatokea kipindi cha maswali na majibu kinaweza kupunguzwa ili kuwapa wabunge nafasi ya kufanya kazi nyingine, kwa mfano kusoma miswada kabla hawajapiga kura ili wajue wanachokifanya (i know that many are allergic to reading) au kutembelea maktaba ya bunge...
  7. Lady Capricorn

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    To those who are "concerned" about women's dignity, wouldn't it be better to talk about our appalling rate of schoolgirl pregnancies, early marriages and child rape? Focus on the disempowered, not the swingers jamani. Getting upset over other people's consensual and legal matrimonial...
  8. Lady Capricorn

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu

    WoS, "Ingewezekana kuwafanya wanasiasa redundant we would have made headways!"- hapo umenikuna :) sikujua kwamba menejimenti ya utumishi walifanya maonyesho, nadhani kila wizara ingekuwa inafanya hivyo tungefika mbali kama ulivyosema. lakini pia, nadhani technocrats wetu wanahitaji kurudi kwenye...
  9. Lady Capricorn

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu

    WoS, Implementation is where the rub is, au siyo? One of my biggest annoyances/disappointments in how we conduct our governance is this reliance on wanasiasa to do things. Whenever there's a problem, we run to the President first and if he is not available, his Prime Minister and finally his...
  10. Lady Capricorn

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu

    Woman of Substance, well said. Lakini nadhani hizo njia ulizoziandika hapo juu hazina nguvu za kurekebisha tabia ya wanasiasa kuingilia kazi za watendaji. Katiba inasema vitu vingi sana, na mbona hadidu za rejea na job description zipo pia? karatasi tu. Changamoto ni jinsi ya kubadilisha...
  11. Lady Capricorn

    Hold your comments (angalia usitoe maoni)

    mh, hawamwagilii bustani za ikulu? the things google earth can reveal...
  12. Lady Capricorn

    The quote of the week: TGIF

    It a nice article, and I like the Tanzania-South Africa comparisons but I think the author has been in Cape Town too long: the two countries are hardly the same. I take exception to the idea that President Kikwete is 'aping' Thabo Mbeki. The two men have entirely different leadership styles-...
  13. Lady Capricorn

    Kiswahili: Kutoka kwa wakenya

    WanaJamii, Sijui kama mlisoma kwenye magazeti majuzi kwamba Microsoft imezindua 'software' ya kiswahili Nairobi hivi karibuni. Please take a minute to digest taht information. Kama kawaida Watanzania tuna maneno mengi kuhusi lugha na uzalendo, huku wenzetu wamechangamkia tenda. Ninamfahamu...
  14. Lady Capricorn

    Je, unaamini opposition kuingia Ikulu ndiyo suluhu ya matatizo yetu?

    Wapinzani wamefanya kazi kubwa bungeni awamu ya nne, wakiongeza viti bungeni labda huko mbele ya safari wanaweza wakapata majority halafu watafute urais. lakini hali ilivyo sasa, haitapendeza hata kidogo tukipata rais mpinzani kama bado ccm ina majority bungeni. Tanzania ingekuwaje leo kama...
  15. Lady Capricorn

    Ngeleja na Pinda

    Bubu, si sahihi kutegemea kwamba mtu mmoja anaweza kubadilisha system yote ya serikali. Hata kama Pinda personally ni mtu mzuri, bado ni kada wa chama tawala na yumo ndani ya system, tena toka enzi za Nyerere. Ni yale yale ya kumpa Kikwete asilimia kubwa ya kura tukitegemea mabadiliko as though...
  16. Lady Capricorn

    Ngeleja na Pinda

    I like to keep an open mind. sitaki kuweka maneno midomoni mwao, if they prove to be useless so be it.
  17. Lady Capricorn

    Ngeleja na Pinda

    Ahsante Bubu, nilikuwa na hofu kwamba mjadala wa hotuba ya rais itafunika ripoti hizi mbili muhimu kutoka kwa watendaji. labda kweli Speaker na mawaziri hao wawili wanatafuta mbinu ya kukwepa kutoa ripoti zao bungeni. umebaki muda mchache sana...
  18. Lady Capricorn

    Tanzania National Identities

    Safi, Geeque na wengine ambao mnaona kwamba awamu ya nne na kiongozi wake wamefeli kabisa naomba mniambie nani anaweza kuwa credible alternative? upinzani wa maneno ni rahisi (na una manufaa yake) lakini utendaji ni kitu tofauti. kweli kuna wawakilishi wa watu huko bungeni ambao wanafanya mambo...
  19. Lady Capricorn

    Tanzania National Identities

    Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha...
  20. Lady Capricorn

    Tanzania National Identities

    Kweli JMushi, ila hofu yangu ni kwamba tunakuwa vipofu wa makusudi kuhusu how change really occurs. inachukua muda. sisemi kwamba serikali yake kikwete is on point kwa kila kitu, kwa mfano hizo sekondari za kata za vodafasta kweli ni dangaya toto: bila waalimu wazuri tutavuna kizazi cha...
Back
Top Bottom