Search results

  1. A

    Ushahidi kuwa binadamu tumeumbwa na hatujatokea tu

    Karibuni sana wana jamvi! Leo nataka kuwashirikisha sababu za msingi kabisa ambazo ni rahisi kuzithibitisha kuwa binadamu na viumbe wengine wote tumeumbwa. Nitaongelea binadamu zaidi ila nitawakilisha viumbe wengine pia. Kabla hatujaendelea napenda kwanza nitoe tofauti kati ya binadamu na...
  2. A

    'Who created God' is an Illogical Question!

    Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili. Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?) Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye...
  3. A

    Who created ''Nothingness''? and before Nothingness, what was there?

    Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua. 1. Who created "Nothing''? 2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na nini? 3. Mungu alikuwa wapi wakati anaumba Nothingness? Au nothngness haikuumbwa? 4. Kama nothingness...
  4. A

    Eternal Punishment cannot be understandable by any one

    Look! Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha. Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa umeelemewa na msongo wa mawazo unaotokana na matatizo mbalimbali, magonjwa na hussles. Then unakufa bila...
  5. A

    Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika. Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA...
  6. A

    Je, kinadharia inawezekana kila mtu duniani akawa tajiri?

    Wanajamvi, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa nafasi hii aliyonipa ya uhai na afya tele kuweza kuleta swali hili kwenu. Swali langu haliongelei kama inawezekana kila mtu akawa tajiri 'kiutendaji', la hasha. Bali je, logic inakubali kwa watu wote duniani kuwa matajiri bila kuacha masikini hata...
Back
Top Bottom