Search results

  1. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Ilikuwa ni mtikisiko siku ya Alhamisi Jimboni Ukonga.Umati mkubwa wa watu ulimsindikiza Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kivule Mwita Mwikabe Waitara wakati akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge jimboni Ukonga kupitia CHADEMA. Ulikuwa ni msafara wa magari,bodaboda,baiskeli na...
  2. G

    Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    WanaJF Ni asubuhi tulivu hapa Morogoro na kinachozungumzwa hapa ni ujio wa Katibu Mkuu CHADEMA Dr Wilbroad Slaa anayetarajiwa kuwasili hapa na kufanya mkutano mkubwa sana wa hadhara jioni. Watu kadhaa wanaonekana wako katika mavazi maalum ya Chadema ya Tshirts na Kombati. Pamoja na...
  3. G

    Msafara wa Chenge wadaiwa kupiga risasi hewani kuvuruga mkutano wa Mnyika Bariadi

    Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge amezusha sintofahamu kubwa kwa kuingilia ziara ya CHADEMA mjini hapa Mara baada ya mkutano mkubwa wa CHADEMA uliohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti mstaafu Bavicha John Heche umati mkubwa wa watu umesindikiza viongozi hao hadi ofisi za chama...
  4. G

    Tutasambaratisha CUF na kuteka mikoa ya Pwani - Mwigamba

    Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amejitapa chama chake kuteka mikoa ya Pwani kisiasa hasa mikoa ya Mtwara,Lindi na Pwani. Akizungumza na Radio Times hapo jana Mwigamba amesema hiyo ni moja ya agenda yao kubwa kwani wananchi wa mikoa ya Pwani wanazo rasilimali nyingi yakiwemo Mafuta lakini...
  5. G

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amepinga vikali kauli ya serikali kwamba maaskofu wamegawanyika kuhusu Kura ya Hapana kwenye Katiba Mpya. Askofu Bagonza ambaye ni mjumbe wa CCT ameonya kauli ya Samwel Sitta kwamba Serikali haitarudi nyuma kuhusu katiba mpya. Askofu Bagonza...
  6. G

    Maaskofu wameitendea haki Katiba mpya - Warioba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amesema amefurahishwa na uamuzi wa Tamko la Maaskofu wa Makanisa yote nchini ya kuikataa Katiba Pendekezwa. Jaji Warioba amesema ni ukweli ulio wazi kwamba maoni mengi watanzania waliyotoa yamepuuzwa kwenye Bunge la...
  7. G

    Dr. Slaa ahojiwa kwa masaa sita (6) Central Police...

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameitwa Kituo kikuu cha Police na atawasili central police saa 4 kamili asubuhi kutoa maelezo yake kuhusiana na njama za kutaka kuuawa na mlinzi wake. Tayari hapa polisi kuna umati mkubwa wa waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kumsubiri mwanasiasa...
  8. G

    CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe. Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za kesi. Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na...
  9. G

    Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    WanaJF Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa kuna wabunge watatu wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wanatarajiwa kujitoa ndani ya chama hicho mwishoni mwa mwezi huu na kujiunga na chama cha ACT. Taarifa hizo zinasema pia hii ni baada ya majadiliano ya muda mrefu na...
  10. G

    Waziri Simbachawene, Mulika TANESCO Ukonga kuondoa rushwa iliyokithiri

    Kumekuwa na manung'uniko makubwa kutoka kwa wakazi wa Ukonga wanaohitaji umeme katika makazi yao. Wakizungumza kwa jazba wakaazi kadhaa waliokuwa katika ofisi ya Tanesco Gongolamboto wamesema mtu yeyote anayelipia kufungiwa umeme anapaswa kufungiwa ndani ya mwezi mmoja tangu alipie kama...
  11. G

    Maamuzi ya Waasi ACT ni Batili - Limbu

    Mwenyekiti wa ACT Tanzania Kidawi Limbu amesema kikao cha waasi wa ACT kilichokutana juzi chini ya Samson Mwigamba na Kitila Mkumbo ni haramu na hakitambuliki Kikatiba. Mwenyekiti huyo ameyasema hayo mjini Zanzibar aliko kikazi na viongozi wengine wa chama. Kiongozi huyo amesema...
  12. G

    Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani avuliwa Uanachama!

    Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani Nickson Tugara amevuliwa uanachama wa chama hicho na kamati tendaji ya Jimbo la Ukonga kutokana na tuhuma kadhaa dhidi yake. Uamuzi huo ulifikiwa katika kikao kilichofanyika juzi ambapo wajumbe wote 12 wa kikao...
  13. G

    Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe. Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda...
  14. G

    Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

    Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM. Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia. Mgombea huyo...
  15. G

    Nikishinda uenyekiti, nitasamehe wote waliofukuzwa kwa usaliti CHADEMA - Kansa Mbarouk

    Kansa Mbarouk mgombea wa Uenyekiti Chadema ameweka msimamo wake kuhusu wale wote waliofukuzwa Chadema kwa uasi,uhujumu na usaliti. Akizungumza na kituo kimoja cha Radio mjini Tabora kijulikanacho kama VOICE OF TABORA mgombea huyo amesema akishinda nafasi hiyo atatoa msamaha kwa wale wote...
  16. G

    Agustino Matefu hana hadhi ya kujibiwa na UKAWA

    Viongozi kadhaa waandamizi wa Ukawa wamekataa katakata kumjibu Augustino Matefu anayejiita Mwenyekiti wa Kikundi kinachojiita Tanzania Kwanza. Viongozi hao walihojiwa jana kutaka kufahamu kauli yao kuhusiana na Kikundi hicho cha Tanzania Kwanza kutoa siku 7 kwa Ukawa kurudi bungeni vinginevyo...
  17. G

    Nina Imani kubwa na CHADEMA - Prof. Baregu

    Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Professor Mwesiga Baregu amesema ana Imani kubwa na chama chake katika kuleta uongozi bora nchini. Professor Baregu aliyezungumza na waandishi nje ya Ukumbi ambao mkutano wa Kamati Kuu ukiwa unaendelea amesema kuna watu ambao wanakesha wakiomba ili Chadema...
  18. G

    Serikali ya CCM yazidi kumwandama Mbowe!

    Katika kile kinachoonekana kumweka bussy Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe tayari kesi iliyofunguliwa miaka minne huko nyuma imefufuliwa. Kesi hiyo iliyoratibiwa na CCM alifunguliwa Mbowe kipindi cha uchaguzi mkuu uliopita kwa madai kwamba alimshambulia msimamizi wa Uchaguzi huko HAI. Hapo...
  19. G

    Makao Makuu CHADEMA: Mkutano na waandishi wa Habari - Jumanne 15, Julai 2014

    TAARIFA FUPI KWA VYOMBO VYA HABARI Kutokana na masuala mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya chama, ambayo wanachama na Watanzania kwa ujumla wanahitaji kusikia kauli, msimamo na maelekezo ya chama, CHADEMA inatarajia kukutana na waandishi wa habari siku ya Jumanne, tarehe 15 Julai, 2014...
  20. G

    Makamu Mwenyekiti Zanzibar (CHADEMA) aandaliwa kwa majukumu mazito

    Chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kipo katika pilikapilika kubwa za uchaguzi ndani ya chama. Uchaguzi huu ndani ya chama umekuwa ukifuatiliwa na mamilioni ya Watanzania waliopo ndani na nje ya nchi kutokana na ukweli kwamba chama hicho kina uwezekano mkubwa wa kuchukua dola kwenye...
Back
Top Bottom