Search results

  1. zee la ukoo

    Mwanamke mbishi

    Usitumie hasira hazita saidia fikiria vema cha kufanya kumtoa nje ya chumba sio dawa.
  2. zee la ukoo

    Cristiano Ronaldo (kuhusu kuvunjika kwa penzi lake na mlimbwende Irina Shayk)

    Umenena vema sana bro mpende sana maza na mungu akubariki kwa upendo
  3. zee la ukoo

    #COVID19 Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Sio pumbavu tuu ni zezeta kabisa
  4. zee la ukoo

    Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

    Kacheki vvu kwanza wewe achana na mambo ya mimba
  5. zee la ukoo

    Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    Tafuta pesa acha shobo na ujifunze kuandika kwanza ndipo urudi humu.
  6. zee la ukoo

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Hivi ni saloon gani ya kiume wilayani kinondoni inayozingatia tahadhari ya maambukizi ya virusi vya covid19? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. zee la ukoo

    Ushauri kuhusu elimu bure

    Kawaulize kama wanapokea fedha za elimu bila malipo? na mgawanyo wa matumizi yake ukoje? yaani hata daftari hutaki mnunulia mwanao unataka serikali inunue?
  8. zee la ukoo

    Ushauri kuhusu elimu bure

    Sawa tumekusikia.
  9. zee la ukoo

    Samatta ahakikishiwa namba kuwaliza Leicester City

    acha ungendee wewe! !
  10. zee la ukoo

    Wale tuliopita Mazengo Secondary aka Mazengo Comlex (sasa hivi ni university) enzi hizo tukumbushane kidogo yaliyojiri miaka hiyo

    we ukienda ng'ambo kusoma wenzio tulikuwa tunaenda SUDAN kupata upepo kidogo kabla ya kuzama kikuyu kwenye pilau!
  11. zee la ukoo

    Mwezi mmoja ni wa dalali, madalali hii tabia mmeitoa wapi?

    tafuta hela ujenge yako mkuu, uondokane na hizo kero
  12. zee la ukoo

    Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

    Nenda kashtaki kwa paroko
  13. zee la ukoo

    Haya ndo niliyoyaona Mtwara katika ziara yangu

    Huyu hawezi hata kumiliki simu yenye uwezo wa kupiga picha kamwe kwa akili hizi tumsamehe tuu aendelee na ndoto yake
  14. zee la ukoo

    Nimewasikiliza viongozi wakuu wastaafu. Inasikitisha sana

    Wewe mwenyewe umeshasema pungufu mojawapo ni kunyimwa kwa demokrasia alafu unashangaa tena?
  15. zee la ukoo

    Nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu, akiwa wa kike itapendeza sana

    Mungu asipokupa hata huyo mmoja je? Usipange/ mwombe mungu akupe mtoto mmoja we mangi???
  16. zee la ukoo

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    utoto huu ukibalehe utaacha tuu
Back
Top Bottom