Ipo eneo la Makumbusho, imepakana na kijiji cha Makumbusho upande wa kushoto ukiwa unaelekea eneo la Victoria.
Ni kwa ajili ya viongozi na maofisa usalama na familia zao, ingawa nasikia wenye bima wanatibiwa.
Ni hospitali nzuri kwa maana ya huduma, vifaa na utaalamu. Inamilikiwa na serikali...
[QUOTwikosesrex, post: 31557197, member: 379967"]
nahtaji mkopo wa haraka wa 150k naweka bond pc ya toshiba i core 7 marejesho one week, tafadhali mwenye msaada tuwasiliane
Kama wiki si usubniri tu, ya nini kukopa?
Soma vizuri comment yangu. Nimesema hakuna cheo cha Brigedia, Bali Brigedia Jenerali. Hicho ni cheo cha kwanza kwa ngazi ya Majenerali, na anakuwa na nyota moja. Mfano huwezi kumuita Luteni Jenerali kama Luteni, cheo kina majina mawili, huwezi kutaja moja
Wakuu embu fafanueni : Bunge limemkataa CAG au Prof. ASAD? Maana Yangu akija CAG mwingine watafanya naye kazi au hawatafanya kazi na NAO bila kujali nani ni CAG?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.