Search results

  1. jay311

    Mwanamke kaona picha za kimada kwenye simu ya mume wake lakini haoneshi utofauti

    Una uhakika mke wako hakunwi huko nje...? Mimi naona hapo ngoma droo. The longer it goes,the worse. Tafuta suluhisho la serious kama unataka kuiokoa hiyo ndoa... Mojawapo ya factors zinazochangia ndoa kuvunjika ni hizo unazopitia, Kunyimana unyumba, kutokuwa na mawasiliano mazuri na...
  2. jay311

    Kampuni ya Nike yafungua kesi kwa madai ya kuibiwa chapa ya Viatu vya shetani

    Ushetani kwa 100% 1) kwanza huyo msanii anayetangaza ni Gay 2) Tone la damu chini ya Soli ya kiatu nadhani mnajua maana ya kukanyaga tone la damu au damu yenyewe 3) Namba 666 mnajua inamaanisha nn ambayo kwao ndio ilikuwa jumla ya viatu vilivyotolewa. 4) Hyo chata ya nyota 6 mbele ya Kiatu ni...
  3. jay311

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mkuu unapenda vidogo dogo ehh
  4. jay311

    Naomba ushauri: Nijiajiri au niendelee kuajiriwa?

    Usiache kazi kabla biashara yako haijasimama kwa miguu miwili. PIA ukiendelea kubaki na kazi yako utakuwa una source mbili za mapato kwa muda flan mpka biashara yako itakapo simama. Tatu tafuta ndugu yako wa karibu ndio akae kwanza dukan sio mtu usiefahamiana vizur. Na mwisho kabisa fanya...
  5. jay311

    Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

    Miradi yenyewe tunasaidiwa na serikali zingine lakini tunajipiga kifua binafsi kama vile tumeifanya wenyewe. Miradi ya kawaida tu lakin mbwembwe nyingi, waafrika bana tunashida sana, kila kitu siasa tu. Badala mjisifie kwenye sera zenye tija mnajisifia kwenye barabara... Poor creatures
  6. jay311

    Salome Binti aliyehatarisha maisha yangu, baada ya miaka 8 nimekutana naye tena

    HAPA NAUONA UONGO KWA 99% HIVI, ANYWAY UNAJUA SANA KUANDIKA STORY, SHIGONGO 2.O LOADING 😂😂
  7. jay311

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Hio naona ni genital warts mkuu, sasa baada ya kuleta uzi naomba hatua nyingine inayofuata ni uende hospitali ili daktari aweze kuexamine severity ya hivyo vipele na pia achukue blood samples.
  8. jay311

    Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

    Vp bado una jambo?
  9. jay311

    Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

    UTO KAMA UTOO UTOPOLO MANYANI FV VYURA FC 🐸🐸🐸 INAWAUMA SANA NYIE KUTOKUWA NA MICHUANO YA KIMATAIFA... ILA NAJUA NYIE NI JOBLESS KAMA ALIVYOSEMA EDO.
  10. jay311

    Kwanini tunapenda kutuma pesa (kwa njia ya simu) kuliko benki ambazo huwa na gharama nafuu?

    Hili nalo linahitaji research aisee, nikiwa hko kijijini interior mpka nitafte bank? Nikiwa na shida ya haraka nafanyaje? Umempa fundi kazi kamaliza sa 1 usiku unaenda bank gani kumtumia hela? Mwisho wa siku bank ina umuhimu wake na mashirika ya simu yana umuhim kwa transaction za haraka
  11. jay311

    Ushauri: Member anapoomba msaada nendeni kwanza kaangalieni nyuzi zake za nyuma

    Wait, hebu ngoja kwanza, kumbe kuna watu huwa wakiona thread ya mtu kaonewa na kuteswa na vimeo vyake wanasahau kwenda kuangalia post zao za nyuma? Kwanini unasahau kuangalia ujue kama ni mtungaji kaamua kuchangamsha jukwaa au lah!! 😂😂
  12. jay311

    Hivi hizi habari kumhusu huyu mzungu ni za kweli?

    Aisee sisi hatujui labda tukuulize ww mleta uzi maana ndio tunaanza kusikia kwako.
  13. jay311

    Sipo tayari kufanya ajira take home chini ya milioni moja

    Mkuu nina muda sijaingia humu,huwa naibiaga tu am glad kuliona hili jina linalotikisa huku jf na comment za front seat 😂😂 Huyu dogo kodi yake ya miezi 6 aliyoilipa ikiisha ataanza kujizungusha na tai yake shingoni
  14. jay311

    Mpango wa kuanzisha Chama kipya cha Siasa

    Mtoa post naona kama hujafanya research bado, 1) kuna vyama zaidi ya kumi Tanzania 2) Icho chama cha wakina mdee kitakuwa cha wadaliti na jumla ya wafuasi 18 unadhan nani atawafuata? 😁
  15. jay311

    Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Sisi kama wanachadema tukisaidiwa na viongozi wetu tulishawakataa, kwani lazima aing'ang'anie Chadema? Aende hata ccm maana nacho ni Chama
  16. jay311

    Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Mpaka sasa hivi hawajajibu maswali yenye tija, kwa mfano: Nani aliwasainia fomu na kugonga mihuri? Nusrat Hanje amefika fikaje bungeni? Imekuaje process zote zile zienda discreet kiasi kile mpaka wameapishwa hakuna mtu aliyekuwa anajua? Na pia Leo asipoikana hiyo nafasi yake ya ubunge wa kupewa...
  17. jay311

    Ukweli lazima usemwe: Wa kwanza kuvunja Katiba ya nchi ni CHADEMA

    TUKUULIZE SWALI KWANZA "Wewe unahisi uchaguzi ulikuwa huru na haki"?
  18. jay311

    Mkakati wa CHADEMA Kugomea Viti Maalumu ni 'Political Maneuver' isiyokuwa na tija yoyote

    Dah mkuu unastahili soda baridi sanaa kwa hii reply 😂😂😂
Back
Top Bottom