Search results

  1. J

    'Nimeshikwa, nashindwa kujinasua, hebu nisaidieni'

    Hayo ndo matokeo ya kuwa na nyumba ndogo unajikuta unabomoa nyuma ya bati na kwenda kujenga ya nyasi, Rudi kikweli kikweli kwa mkeo na umuombe msameheane kadhalika mrudie Mungu wako kwa kutubia na kufanya mema na kuachana na hayo, usitake kuhalaisha tamaa kwa sheria za mungu. Tulia na mkeo mlee...
  2. J

    Ni sahihi kwa mashoga kudai wanapunjwa haki za binadamu!!!!!!!!

    Ni vizuri tukapaza sauti zetu kupinga haya kwani ni kinyume na mafundisho ya dini zetu na maadili yetu watanzania. Lakini tukumbuke kuwa mabwana wakubwa nchi zilizo endelea ziko mbioni kuyaleta mambo haya kwetu nadhani mmesikia ya malawi mashoga walifungwa then Katibu mkuu wa umoja wa mataifa...
  3. J

    Intel Alert: Wamiliki wa nyumba walizwa na utapeli mpya; Wauza nyumba zao bila kujua

    Utapeli huu una muda mrefu nadhani ulififia kidogo na sasa umeibuka, kuna staff mwenzangu alikuta barua ya offer ya kupanga nyumba yake kwa bahati nzuri alinishirikisha na nikamtahadharisha akataka asiamini akidhani namuwekea kauzibe, lakini baadaye aliendelea kuwasiliana nao kwa tahadhari...
  4. J

    Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

    Kuna baadhi ya wanawake wana fanya ka business ka namna hiyo anakuwa na mabwana wengi kwa ajili ya kuwachuna, na mara nyingi ukiendelea kumfuatilia huenda ukakutana na mengine ya kukuumiza na hata ukafanya maamuzi mabaya, mpe nafasi ajinafasi nawe angalia ustaarabu mwingine
  5. J

    Wanawake hutoka zaidi nje ya ndoa wakati huu!

    hii yaweza kushabihiana na taarifa niliyowahi kuisoma katika gazeti hapa hapa TZ kuwa 60% ya watu waliokwenda kupima kutaka kujua uhakika wa watoto waligundulika kuwa sio wa baba wanao walea.
  6. J

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Nakumbuka kipindi vya Pwagu na pwaguzi cha Batholomeo Milulu na Rajab Hatia, Kipindi vya maigizo vya mzee Jongo, mama Haambiliki, Zena Dilip, Mazungumzo baada ya habari, mziki wa kuanza kipindi cha matangazo ya vifo, kipinidi cha zilipendwa chini ya Mohamed Besta ... ya kale ni dhahabu
  7. J

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kutoka hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam niliyewatangazieni mpambano huu katika ya Simba ya Dar na Majimaji ya Songea ni mimi sports lady wako HALIMA MCHUKA
  8. J

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    kipindi cha wakati wa kazi, Misakato na Uncle J Nyaisanga, Nyimbo asilia na mkoa kwa mkoa na Michael Katembo, Mikidadi Mahmoud na Jongo na kipindi cha mikingamo, Nipe Habari na David Wakati.
  9. J

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Idrisa Sadallah kutoka nyanda za juu kusini
  10. J

    Pesa zetu - wakumbuka enzi hizo

    coin hizo hapo juu siku hizi hazitumiki kabisa kwani hakuna kitu kitakachoweza nunuliwa kwa pesa hizo, je hali yaweza kubadilika na kuweza kupata nguvu ya kutumika tena?
  11. J

    ni kina dada hawa jamani

    niliambiwa nikue niyaone na sasa naendelea kujionea
  12. J

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Hongera zake, aliitwa nyumbani aendeleze inji akajitahidi kufanya hivo ikawa sio wakamtema naye ametimka ... kwa yaliyomkuta Tido inanipa shaka hata hao wataalamu wengine kurudi nyumbani kwa kuhofia yaliyomkuta
  13. J

    Nani anakumbuka chupi za VIP?

    Fantastic ... stove za kujaza upepo rangi ya shaba ikiwashwa ndani hakuna kusikilizana kama ni kuongea lazima uongee kwa sauti ka vile mko baa dah old is gold
  14. J

    Nani anakumbuka chupi za VIP?

    kaka Kiiza umevuta hisia tamu na zenye burudani ukumbakapo, mi nakumbuka perfume za yolanda, na mafuta ya mikebe ka ile wanayowekea ugolo akina bibi. Shule ya msingi kulikuwa kuna kutumia vijiti badala ya vifungo unaiingiza ktk shate then unaingiza katika tundu la kifungo na kutokezea upande wa...
  15. J

    Funny and freak pictures

    hahahah funny
  16. J

    Imetokea loliondo

    kwa kweli Inavutia na imetengenezwa kiutaalamu, Hivi mpaka sasa vyombo vya habari vimetoa documentary kama hii?
  17. J

    R.I.P. Dr. Remmy Ongara

    katika wimbo wake wa kifo kama vile alijitabiria kuwa atafia muhimbili, Mungu amlaze mahala pema peponi, yeye mbele nasi tu nyuma yake
Back
Top Bottom