Habari ya jumapili wadau,
Naomba kujuzwa wanapochinja/uza nyama ya nguruwe/kitimoto Hapa Dar es salaam hasa wilaya ya Kinondoni.
Najua supermarket zinapatikana Ila bei zao ziko juu Na inakua imekaa muda mrefu.
Nafikiri Kama halmashauri imeweza kujadiliana Na mmiliki Hadi akakubali kuhama bila vurugu Ni jambo la sifa.
Suala la viongozi wa halmashauri kwenda kubomoa inaweza kuwa Sawa Na sherehe ya ufunguzi wa jengo au barabara
Serikali ndiyo iliyoanzisha mgoma kwa kugomea maboresho katika sekta ya afya. Kinachotokea kwa madaktari ni wao kushindwa kufanya kazi kutokana na mgomo wa serikali. HUDUMA BORA TUTAZIPATA SERIKALI IKIACHA MGOMO
Pia kuna tender moja imepitishwa kihuni huni ya kufunga gps tracking system kwenye gari za wizara... utekelezaji wake unasuasua hadi leo, kampuni inayohusika na ufungaji wa hivyo vifaa ndugu (kaka) yake Jakaya na Salma (inasemekana Shangazi) wanauhusiano nayo
Umeshindwa kuwaelewa ndugu yangu.. Kama wangefanya mikutano na maandamano kabla ya kukubaliana na JK polisi wangesababisha vurugu halaf wangwalaumu CHADEMA ni wapenda vurugu. Ila kwa sasa hivi wamesainishana na Rais kuwa atapokea maoni kutoka kwa wadau mbali mbali katika kuuboresha, sasa hapo...
CHADEMA wa Lissu hawajasema wanataka kuvunja Muungano, ila Zanzibar kwenye muungano inachukuliwa kama mtoto wa mama anavyolelewa hata wakifanya kosa linalohatarisha muungano inabidi tuwaache tu...
Kuna mambo mengi sana ya kuweka sawa kwenye huu Muungano hasa kwa sasa tukiwa tumeshakua pamoja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.