Mkuu una uhakika hao uliowataja wanafanya biashara zao kama kina Qnet, GNLD, Forever Living n.k? Labda utakuwa umechanganya online marketing na network marketing, soma vizuri hivyo vitabu vyako
Katika wakuu wa mkoa wanaopiga kazi ni pamoja na huyo mshua, sema tu anamaneno fulani na namna anavyoongea watu wanaona comedy au anatafuta media attention ila kiukweli ndivyo alivyo hivyo sisi watu wa mboka tunamjua kitambo
Sasa mkuu ushafumania msg ya michepuko 3 alafu unakuja kuumia baada ya kukutwa kapakatwa na mchepuko mmojawapo? Huna haja ya kuwachukia wanawake wote utajipa tabu tu, kumbuka maisha yanaendelea soon utatokea kupenda tena
Ni muda wa kuwageukia wale waliokuwa wanakupenda alafu watathiminishe vizuri kisha umchague mmoja mtakaoweza kwenda sawa, kumbukumbu husahaulika jitahidi kufanya mambo chanya kuufikirisha ubongo wako zaidi ya kumuwaza huyo bibie aliyekutema. Pia usisahau kutupa mrejesho wa kurudia matapishi...
kwa kweli ni changamoto kubwa kwa wakulima wetu kupata kile wasichostahili kutokana na janjajanja ya wafanyabiashara wachache na manyaunyau ya serikali.. Bado namashaka na serikali kama itawalipa wakulima hawa kama ilivyowaahidi na wasiwasi wanaweza wakakopeshwa na kuja kulipwa itakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.