Search results

  1. Lokaseven

    "Bibi Nisamehe...Najuta"

    Ushoga mtup
  2. Lokaseven

    Ajenda ya kuhamasisha vijana kufanya fujo imegonga mwamba!

    Ewe mtanzania mwenzangu mwelewa kama mimi nakuomba uchague UKAWA chagua rais wabunge na madiwani wa ukawa kwa maendeleo yako ya baadae sio kushabikia hapa kazi tu ikiwa hauna ajira miaka 54 ya Uhuru nchi uko wapi!.usifanye makosa mtanzania mwenzangu.
  3. Lokaseven

    UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    najua umetumwa na ccm na unatumika vibaya jaman hebu tuwen na akili angalau hata ya kuzaliwa hvi wewe unafikili kilaza magufuli ataweza kuiongoza hii nchi kwenye watu kama sisi kwenye akili zetu hebu tafakalini hili najua ninyi ni wasomi pia kama mimi kaka enu...miaka 54 ya Uhuru kiko wapi...
  4. Lokaseven

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    kura yangu nampa lowasa wambie wamechelewa hzo najua ni kejeli tu Kikwete si ndio alikua rais
  5. Lokaseven

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    hizi watazirudisha
  6. Lokaseven

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    kwa hyo zile njama mlizo kuwa mkizipanga tayari zimeanza kazi rasmi?..
  7. Lokaseven

    Kuwa na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano ni raha sana

    kwani baba ako yuko HVO na ulisha wahi kumuuliza mamaako alimpendea nn babaako?..
  8. Lokaseven

    CHADEMA hawafai kupewa nchi sababu ni waongo

    people's power
  9. Lokaseven

    Elimika ewe Mtanzania mwenzangu

    Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, No! NiMwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe? 1, Ni ----- 2, Ni Mjinga 3, Mpumbavu 4, Mwehu 5,Mwendawazimu 6, Una Ubongo Wa...
  10. Lokaseven

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    kwa hyo wewe ndio msemaji wako au umejipendekeza
  11. Lokaseven

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    wewe hzi habari umezitoa WAP?,,
  12. Lokaseven

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    kwa mtindo huu tz hatuwezi kuendelea
  13. Lokaseven

    Hatimaye Lowassa abomoa hadhi ya CHADEMA

    wewe inaonekana umetumwa na ccm lakn mm nasema hvi hauta weza hats kidogo wananchi wakitaka mabadiliko kamwe huwezi kuzuia hata kidogo mm nakushauri uachane na hayo masuala
Back
Top Bottom