Naandika haya nikiwa kama mtu wa kati. Inasikitisha sana kuona watu tunakosa uzalendo na kuendekeza uchama, sio CCM, CHADEMA, CUF wala act. Serikali na vyama pinzani sana ni maadui lengo la kusukuma nchi iende mbele hakuna tena.
Huyu anamkandamiza huyu huyu anamchafua huyu. Tunaonekana vituko...
acha bangi ww, kwani jamii form mbona watu binafsi huwa wana post hizo ishu zikitokea kabla hata ya vyonbo vya habari. inamaana hata wananchi wamefungiwa! mtu akifa watu watajua labda afe sisimizi. acha kukurupuka...
Ukimsikiliza maneno yake utaona jinsi alivyo mzalendo. na matendo yake ndo yanakamilisha kuwa kama mzee wetu Nyerere. tunamuombea mungu amlinde na kumuongoza.
wapingapi maendeleo mwaka huu mtajuta... mnaongea tu maneno ya kupotosha watu. ndege zinaruka fresh kabisa. hamna ndege mbovu. mimi ni eye witness apa airport...
kweli elimu muhimu sana. uzuri mm nipo sekta ya mambo ya anga, ndege mpya mbili zilizonunuliwa zinafanya kazi kama kawaida na mda huu naandika ndo inaenda kuruka. cku chache zilizopita ilienda kenya kufanyiwa servic. ilikaa cku kadhaa ni mambo ya kawaida tu, hata cc tuna ndege zetu zikifika mda...
we huna akili kabisa... sauti hazifanani hata kidogo unatuletea humu. umetumwa wewe. usiwe na akili fupi kama hujasoma
we huna akili kabisa... sauti hazifanani hata kidogo unatuletea humu. umetumwa wewe. usiwe na akili fupi kama hujasoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.