Search results

  1. Lukelo First

    Magodoro

    lipi sasa zuri,na linadum kati ya comfy na Tanform na wapi yanapatikana kwa urahisi? msaada wenu wakuu.
  2. Lukelo First

    Natafuta godoro bora na la kisasa yanapatikana wapi kwa hapa dar es salaam!

    Bongolala, vipi utakuwa unafahamu bei zao pia mfano 5by 6 inch8 au10.
  3. Lukelo First

    Natafuta godoro bora na la kisasa yanapatikana wapi kwa hapa dar es salaam!

    Habari wakuu, Naombeni kujuzwa wa ntapata godoro bora pande za hapa Dar. Ntashukuru sana mchango wenu ukiambatana na bei ila napendelea size 5 by6. Nawasilisha.
  4. Lukelo First

    Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Inauma sana na pia inasikitisha sana kuona aliyewaongoza mpite kwa amani na kwa usalama wenu anaangamia. Ivi ni mida ya sa ngapi hiyo ajali imetokea,kwani kuna wakati majira ya saa sita mchana nimemwona traffic mwanamke akiongoza magari hapo traffic right za bamaga. Poleni ndugu na jamaa pia...
  5. Lukelo First

    Jamani naomba msaada kuhusu ability testing interview ya CRDB

    hongera sana....kwa kuitwa kwenye interviw. For me i may comment you to have confidence. ila tujulishane wapi kwa kutuma hizi maombi na wanazi consider. All the best in your interview.
  6. Lukelo First

    Bongo movie wapatwa na pigo jingine

    Bitabo ivi unaweza kukubaliana nami kwamba mtu anaweza julikana zaidi na baadhi tu ya watu hususani wadau wa kile alichokuwa akikifanya au waliokuwa wakipendezwa nacho.Sawa na doctor fulani bingwa atafahamika zaidi na mgonjwa fulani aliyemtibia maradhi. Tufahamishe basi huyu msanii alivuma sana...
  7. Lukelo First

    Attention msiyo na ajira!!!

    King III naomba ufafanuzu vizuri wa hayo makampuni yanayotoa temporary job huko mikocheni. Kwani si haba kibaba yaweza kupunguza machungu..
  8. Lukelo First

    Matunda yasiyo na mbegu

    i think carrot doesn't have seed
  9. Lukelo First

    What are ethical challenges facing Auditors!

    Hi JF Education members! Could anyone help me to explain in brief the Ethical changes facing auditor's thank you looking from your cooperation in this regards! Lukelo
  10. Lukelo First

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Haina madhara ila ina athari zake kubwa sana.
  11. Lukelo First

    Wenye uzoefu wa kufanya kazi za uhasibu katika kanisa..!

    Hallo Obama wa bongo mwenyewe naomba ufafanuzi wako hapa kutokana na uzoefu wako wa kutumia hizo acc software vipi zinatofautiana sana na microsoft excell,na unaweza ukajisomea mwenyewe. Na la pili kutokana na uzoefu wako utakuwa unazifaham Auditing&accounting firms or NGO ambapo unaweza kuwa...
  12. Lukelo First

    Naomba mbinu za kuweza kuishi chuoni

    Ndg...yangu jitahidi kuwa na PR muda wako wote uwapo chuoni. Ni hii ni muhimu sana na huwa haifundishi...na ndio maana unaweza kumwona mwingine anavalia suruali chini ya makalia. in any sentence spoke he must speak foolish word.Try to find presentable role modal. Kuhusu kitabu only you need to...
  13. Lukelo First

    Nimeitwa kwa ajili ya graduate recruitment holliday inn hotel

    Kaka naona unaweza kuwa msaada hata kwangu,sikuzote huwa naishia kusikia tu watu wanaitwa interview mbali na kujitahidi kutuma application kwa wingi niwezavyo. vipi mzee unaweza ukawa mwokozi wangu hapa kwa kunipa update about job trainings firms za finance industries which you thing i can meet...
  14. Lukelo First

    Wedding Anniversary

    Congratulation FP for sweeter and bitter you and you couple have experience. May GOD my LORD bless you forever and always.
  15. Lukelo First

    Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

    Sembuli kuhusianisha kuamini kuhusu Mwl Nyerere kufariki dunia kwake na swala la Yesu kuzaliwa is too things different very far.By the way kuna ushahidi mwingi tu wa kutosha kuhusu maisha ya Yesu kristo duniani na hadi kifo chake na hadi kufufuka kwake. After low wanaodadisi kuhusu ukweli wa...
  16. Lukelo First

    Qualifications Za kujiunga na JWTZ

    Hallo MAKOLE hapo kweny umri kidogo panatatiza hususani kama utazingatia mfumo na mzunguko wa elimu hapa kwetu it is obvious at least 25yrs old you can find graduate for first degree,so naona wengi hapa tutaikosa hiyo fursa kwa kigezo umri.
Back
Top Bottom