Search results

  1. Amosi Asanali

    Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

    Mbona sijasikia wanaccm wanahamia ACT au ipo kwa ajili ya kusambaratisha chadema!
  2. Amosi Asanali

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Hata mama we vipi
  3. Amosi Asanali

    Mwiguru Nchemba ni zaidi ya Lowasa

    Kwani yupo chama gani?
  4. Amosi Asanali

    Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Haya anayoyaongea yeye angeweza kuyafanya na serikali yake, leo anasema nn wizi mtupu
  5. Amosi Asanali

    Wanandoa pitia hapa

    Hakuna jambazi ----- kiasi hicho, kwann usimuue yeye
  6. Amosi Asanali

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Nikitembea umbali mdogo kama mita mia nahisi kuchoka sana harafu kifua kinabana kama mtu aliyefanya zoezi gumu au kakimbia sana, pia wakati mwingine nahisi kizunguzungu nimepima pressure ipo sawa sukari sawa na damu inatosha sasa naomba msaada tatizo ni nini?
  7. Amosi Asanali

    ITV kurusha leo live mkutano mkubwa wa CHADEMA Dar

    Habari nzuri ila nahofu umeme utakatwa kwa baadhi ya maeneo!
  8. Amosi Asanali

    Hivi kwanini watu wa Dar wanapenda kuwaita watu wa mikoani washamba?

    Unashangaza kweli kwani mmarekani akitoka Washington Dc akaja tanzania akapiga picha mt kilimanjaro au serengeti, bagamoyo ni mshamba wa Dar mjanja sio?
  9. Amosi Asanali

    Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

    Huna uwezo mkubwa wa kufikri nadhan humjui vizuri fredwaa ndo maana unabwabwaja tu maneno, ukabila umekujaje hapo fredwaa mtangazaji mzuri sana sema kipindi si type yake mwanza imetoa watu wazuri mbona kina Godwin Gondwe.
  10. Amosi Asanali

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    Naomba unisaidie receiver ni aina gani na pia dish la futi tatu linaweza kifanya kazi? Je uelekeo ni upi magharibi au mashariki?
  11. Amosi Asanali

    Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    Naweza kutumia receiver nyingine na dish la zuku kupata chaneli za tanzania?
  12. Amosi Asanali

    Kwa kasi hii, Zitto Kabwe kwa sasa ni power broker katika chaguzi kuu

    Hakika una point, ni ukweli usiopingika.
  13. Amosi Asanali

    Azam TV tuondoleeni unyonyaji wa Multi-Choice (DSTV)

    Kiongozi xmaster ni king'amuzi au n receiver ya kawaida? Kama ni receiver bei yake ipoje?
  14. Amosi Asanali

    Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

    Tarehe tu ndo inabadilika mwezi na mwakaje?
  15. Amosi Asanali

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Nashukuru sana kiongozi ila na swali la nyongeza ulinunua wapi mie nipo sengerema mwanza.
  16. Amosi Asanali

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    0763222418(niadd kwenye wjatsapp group)
  17. Amosi Asanali

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Samahani hiyo wiztech yako 999super inafungua keys za channel na pia ulinunua kwa kiasi gani cha pesa?
  18. Amosi Asanali

    Uzalendo Wa Zitto Wathibitika: Kugoma Kupokea Pesa ya Kiinua Mgongo cha Mbunge!

    Akiwaambia wapeleke kwenye miradi ya maendeleo, watafanya hivyo? Jambo la msingi angeichukua na kuipeleka yeye mwenyewe.
Back
Top Bottom