Search results

  1. N

    Viongozi wanaolinda na kutetea rasilimali za mataifa yao maisha yao huwa mafupi sana

    Ni mashaka mahangaiko.....,wema hawana maishaaaaa!
  2. N

    Nimemlipia ada UDOM, kapata kazi UN kanibwaga

    Hahahahaha, Pole! Usijali, hujaanza wewe, kuna wenzio wameachwa na ulemavu! Kama upo salama, Mshukuru Mungu
  3. N

    Mahakama ya Kisutu yawaachia huru Masamaki na wenzake watano

    Hahahahahahah, huyo kaachiwa nyumba 2 tu kati ya nyumba 70 alizokuwa anamiliki hapo masaki na tayari zimeshawekwa nembo ya National House Corporation (NHC)! kwa hiyo huo ndo msamaha wake na ahueni yake japo kazi kakosa hapo tra!
  4. N

    Kodi ya majengo Dsm kila mmoja na tozo yake!

    Viwango vya utozwaji wa kodi za majengo unavigezo viwili kama sijakosea, 1. kuna majengo yaliyofanyiwa uthamini ambapo kodi hutozwa kulingana na thamani ya jengo. 2 majengo yasiyofanyiwa uthamini ambapo wameweka viwango sawa kwa nyumba za kawaida lakini kwa maghorofa ni tsh 50000
  5. N

    Upuuzi huu wa CCM upingwe kwa nguvu zote!

    Tatizo halipo kwenye chama jamani, viongozi wa chama wapo sahihi kabisa! Tatizo lipo kwa mkurugenzi ambaye yeye ndio mtaalam, viongozi wa chama wanawasiliana na mkurugenzi kwa barua au mdomo halafu mkurugenzi anapaswa kuyaweka maelekezo ya viongozi wa chama kiutumishi zaidi na kisheria ili yawe...
  6. N

    Upuuzi huu wa CCM upingwe kwa nguvu zote!

    Huyo mkurugenzi alichokosea yeye ni kuweka kuwa kikao hicho kitaongozwa na viongozi wa chama, alipaswa aishie kwenye hiyo aya ya tatu tu na kumalizia aya ya tano halafu hayo mengine wangekutana nayo kwenye kikao, tena kikao kingeongozwa na ofisi ya mkurugenzi halafu hao viongozi wa chama...
  7. N

    Evarist Chahali: Urafiki wetu na RWANDA ni wa mashaka

    habari nzuri na imejitosheleza
  8. N

    Naomba kujua kuhusu posho za usimamizi wa mitihani.

    YAANI WATUMISHI WENGINE JAMANI, YAAN HATA NAMNA YA KUFANYA KWENYE HAKI ZAO HAWAJUI SASA SIJUI WANAJUA NINI? WEWE, WEWE! HEBU FANYA HIVI, ANDIKA BARUA KWA MKURUGENZI WAKO LAKINI IPITIE KWA MKUU WAKO WA SHULE NA AFISA ELIMU WAKO YAH: KUKUMBUSHIA KULIPWA POSHO YANGU YA KUSIMIMIA MITIHANI KIASI CHA...
  9. N

    LHRC Wafungua kesi Mahakamani kupinga 15% kukatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi wenye Mikopo HESLB

    NI KUJILISHA UPEPO TU, YAANI HAWA WANAHARAKATI KAMA WANAWEZA SI WAKAISAIDIE NCHI KUTOKA KWENYE MIKATABA YA IPTL NA MIKATABA MINGINE YENYE HASARA KWA TAIFA KIUJUMLA! UNAJUA HUMU NCHINI KUNA VISACCOS VYA AJABU AJABU SANA AMBAVYO VINAJIITA NGOs LAKINI VINAFANYA KAZI NJE YA MAADILI! BORA VIFUTWEEE...
  10. N

    Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    KWANI WEWE UNACHUKULIA RAIS NI MTU WA NAMNA GANI AU URAIS NI TAASISI YA NAMNA GANI? MKUU, ELEWA KUWA RAIS NI MALI YA SERIKALI, NAOMBA NIISHIE HAPO MAANA NISIJEROPOKA BUREEEEEE
  11. N

    Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuongea na wanahabari kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Lazima tu utakutana na majina ya watu wa Ukanda huo kwenye kila matangazo kama hayo! Haya watu wa kilimanjaro mpoooo?
  12. N

    Gwajima si Mwanasiasa, asisingiziwe!

    SOMA MAANDIKO HAYA ILI YAKUSAIDIE KUJUA NAMNA GWAJIMA ALIVYO OVYO NA MPIGA DILI WA SADAKA NA EVILS NYINGINE "Aliye juu ndiye anayemiliki katika Ufalme wa mwanadamu, naye humpa amtakaye, awaye yote" (Daniel4:32), " Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu"...
  13. N

    Changamkieni nafasi za kazi LAPF

    Haya sasa usaili wa lapf tarehe 26 April 2017 duce kwanza saa 2:30 asubuhi
  14. N

    Rais Magufuli alisaini msaada wa bilioni 500 wenye masharti yafuatayo...

    Yaan kuna watu hata hawajielewi kabisaaaa, Rais alisema hataki vimisaada vyenye masharti ya ajabu ajabu . Sasa angalia hapo kwenye masharti kama utaona masharti ya ajabu ajabu!, YAAN KWA AKILI KAMA HIZO WAPINZANI WA SERIKALI MNAJIDHARAULISHA SANA!
  15. N

    Buriani Willson Kabwe

    ngoja nikupe somo kidogo, mara zote mikataba ya halmashauri husainiwa na Mwenyekiti, mkurugenzi na mwanasheria wa halmashauri/serikali! Lazima pawepo na uwakilishi wa serikali, uwakilishi wa wananchi na ofisi ya mwanasheria (hapa sasa unapa mihimili yote mitatu yaan serikali, bunge na mahakama)...
  16. N

    Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Daaaaah! umenisababisha nicheke sanaaaaa mkuu siku ya leo, haya bana hizi post nyingine unaweza ukazimia ghafla kwa kicheko
  17. N

    Buriani Willson Kabwe

    DAAAAH, JAMANI HEBU TUACHE UONGO, KABLA YA KUPOST TUFANYE TAFITI KWANZA WE NANI KAKWAMBIA MIKATABA YOTE YA HALMASHAURI ANASAINI MWENYEKITI HUSIKA WA HALMASHAURI? TUFANYE TAFITI HALAFU NDO UPOST, KAMA HUNA UHAKIKA BORA UONESHE KUWA HUNA UHAKIKA AU UNAMASHAKA ILI KUPATA MSAADA!
Back
Top Bottom