Search results

  1. Z

    UKAWA mkishagomea/zomea hotuba ya Rais mkumbuke kuchukua vitabu vya hotuba yake

    Umesharamba nini maana huwezi kusimulia mvua kama haijakunyeshea au na ndiyo......... Funguka
  2. Z

    John, stuka au utaachwa solemba pale Ubungo mataa!

    tupe jipyaulilonalo wewe maana naona mihemko imekuzidi
  3. Z

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    unaijua aibu wewe au unaropoka?
  4. Z

    Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

    Uko tayari kuwa mke wangu wa pili
  5. Z

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Nimesoma lupalama A mwaka 1988 hadi 1994 nawakumbuka washikaji kibao. Kama basil, mwavika, kilagwa mgimwa, ester shole n.k.
  6. Z

    Mpasuko CCM, Mwanzilishi wa CCJ aweka adharani majina 37, wote wakiwa vigogo toka CCM

    Nape amesema ccm ni chama chenye kuruhusu maoni na mitazamo tofauti ya hoja kutoka kwa wanachama
  7. Z

    Pinda akamatwe na ashitakiwe ni mchochezi.

    Inaonekana pinda kachoka kufikiri na mwisho wake umefika
  8. Z

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha MULONGO kutofika eneo lilipotokea mlipuko wa Bomu ni sahihi?

    Tunajua mkuu wa mkoa kuna watu hawapendi hata kuwasikia hasa wanafunzi wa vyuo na wanachadema aende akafanye nini
  9. Z

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Anae bisha na kuleta kejeli juu ya kauli ya kikwete ajiulize anafaidika na nini kwa wakongo kuuwawa na askri wa kagame? Lakhni mwisho wa siku kagame atambue kuwa sisi ni taifa kubwa tunaweza hata yeye kumwondoa madarakani na kumweka mtu wetu kama tulivyo fanya uganda kongo na burundi
  10. Z

    Nakeleka na mbunge anapo changia hoja kutaja chama

    Nimekuwa mfuatiliaji bunge letu laJMT kwa kipindi kirefu, lakini ninachokereka nacho ni pale mbunge anapoanza kwa kushukuru chama chake kana kwamba yuko kwenye mkutano wa chama na kuacha hoja ya msingi, lakini pia nakeleka na uungaji hoja mkono wakati huo huo unakuta mbunge husika analalamika...
  11. Z

    Jussa kawaponza wapemba Dar

    Ulibelali huo unaingia zanz
  12. Z

    Sitta ameliona hili mapema

    Kinachodaiwa hapa si urais ni mamlaka za juu kuwa tatu kiitifaki itakuwaje ndio inayoleta shida ndio linakuja wazo la kupunguza baadhi ya mambo ambayo hayawezi kuleta mkanganyiko kiutendaji
  13. Z

    SITTA: Serikali tatu ni kujitafutia ulaji.

    Mbona hoja yake ni nzuri tu tatizo liko wapi yeye kama Mtanzania ametumia haki yake ya kutoa maoni na kujieleza kutoa yale anayoyaona na sisi tusipoteze nguvu zetu kwa kubeza kishabiki tupinge hoja kwa hoja na siyo hoja kwa kutusi au kukashifu mawazo yake
  14. Z

    Sitta ameliona hili mapema

    Nimemsikiliza mh. Sitta na nimemwelewa kile alichokimaanisha, kama kweli tunahitaji katiba mpya tulitazame suala hili la kipengele cha serikali tatu itakuwaje kiitifaki? Kwanini tusiwe na rais mmoja wa muungano then znz na tanganyika ikawa na governers instead of rais?
  15. Z

    Kuvunjika kwa muungano si jambo geni

    Ukisha weka akili yako kwenye kuonewa kamwe hata ukipewa haki kwako utaona unaonewa tu
  16. Z

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Hawa ndio wabunge tulio nao badala ya kutatua tatizo tunatafuta mchawi wakati mchawi unamfahamu
  17. Z

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kukanusha taarifa ya gazeti la Jamhuri

    Tanzaniaaaaa inapoteza sifa za kiulinzi hasa kwenye jeshi letu la polisi kwa kuelemewa na siasa uchwala shame on you.
Back
Top Bottom