Search results

  1. C

    Nataka kuishi Tanzania kama sipo Tanzania.

    Naipenda nchi yangu ila nashindwa na haya maisha. Nisaidieni niishije Tanzania kama sipo Tanzania? Nipeni mbinu.
  2. C

    Wakenya kupewa vyanzo vya maji kutoka mito ya Rombo.

    Leo asubuhi kwenye taarifa ya habari ya ITV nimemsikia Mheshimiwa DC wa Rombo akimlalamikia mwakilishi wa Bonde la mto Pangani kwamba pamoja na matatizo makubwa ya maji waliyonayo wananchi wa Rombo hususani wa Tarakea mamlaka ya Bonde la mto pangani imetoa vibali vya kupeleka maji kenya kutoka...
  3. C

    Kumbe ni ndoto kuifikia nchi ya asali na maziwa

    Je inawezekana kweli?
  4. C

    Rais Magufuli awarejeshee pesa mabenki lakini kwa masharti.

    Nafuatilia maoni ya wabunge na mjadala wa leo asubuhi kupitia star tv ambapo wengi wanasema mzunguko wa fedha umedorora kutokana na serikali kuondoa pesa zake kutoka mabenki na kuziweka benki kuu. Maoni yangu na ushauri ni kumuomba Rais Magufuli afanye marekebisho katika eneo hilo kwa kurejesha...
  5. C

    Serikali izuie uingizaji wa Bodaboda

    Ni ukweli usiopingika kwamba pikipiki za badaboda zimekua nyingi sana wakati vilevile maafa yanazidi kuwa makubwa. Kwa mawazo yangu naona ni wakati sasa serikali izuie uingizaji wa pikipiki hizo lakini iruhusu tu sparepart zake. Endapo hali itaendelea kwa spidi hii baadae kutakua na kilio...
  6. C

    Kardinali Pengo kaonyesha njia halafu Sumaye

    Ni wakati sasa tuthamini hospitali zetu kuu hapa. Kama viongozi wakuu wameikubali Muhimbili basi na viongozi wengine waitumie badala ya kukimbilia hospitali za nje. Ninatumaini kwa kufanya hivyo serikali itaelekeza zaidi nguvu zake kwa kuboresha hospitali zetu.
  7. C

    Magufuli na staili za uongozi

    Watanzania wanachotaka sasa ni mabadiliko yatakayowaletea maisha bora. Rais wetu kwa utashi Mungu aliompa atachagua achukue njia gani itakayoharakisha hilo lipatikane. Kama malengo hayo yataharakishwa kwa presidential decree basi aitumie. Kama ni kwa njia za katiba sawa. Na kama ni zote mbili...
  8. C

    Kwa Bajeti hii, Sasa naamini Tanzania ni kifaranga kwa Kenya!

    Nikiri kwamba nilikua moja ya watu walioiponda Kenya kwa kila namna lakini baada ya bajeti ya jana nimeanza kuona kweli Tanzania ni wachanga sana kiuchumi ukilinganisha na Kenya na safari yetu ni mbali na ndoto kuwakaribia. Hayo yametokana na bajeti iliyosomwa jana ambapo bajeti yetu ilikua...
  9. C

    Dola trilion moja ni shillingi ngapi za kitanzania?

    Hebu nisaidieni kidogo. Kwa mahesabu ya pesa nahesabu shilingi milion, shilingi bilioni, na shilingi trilioni moja na kendelea za Kitanzania. Nataka nihesabu dola trilioni moja kwa fedha za Kitanzania nakwama. Nisaidieni.
  10. C

    Kura ya maoni ya katiba ipigwe kabla jk hajamaliza urais

    Hatimaye katiba inayopendekezwa kwa wananchi imepitishwa na bunge maalumu la katiba na kilichobakia nikuiwasilisha kwa Watanzania jambo ambalo litafanyika baada ya uchaguzi mwaka 2016. Sioni kuna sababu za kusubira kiasi hicho kwa kuwa lolote laweza kutokea pengine atakaemrithi Kikwete aseme...
  11. C

    Sera ndizo zinazotumaliza watanzania, Haziwekwi kwenye katiba

    Umasikini na kero za Watanzania utaendelea kubaki pale pale kwa kuwa matatizo yetu hayatokani na katiba ila sera mbalimbali kama za elimu, afya, ardhi, kilimo, biashara, na nyingine chungu nzima ambazo haziwekwi ndani ya katiba. Kwenye katiba ni mambo tu ya muundo wa serekali,mamlaka na...
  12. C

    Stop making tanzanians poorer and poorer

    Mzee Kingunge Ngombale jana alizungumza jambo ambalo limekua linanitesa sana kuhusu rasimu ya katiba yetu inayojadiliwa bungeni. Kwangu binafsi nimemuona kama mjumbe wa kwanza aliyeniwakilisha bungeni kwa kuweka wazi mapungufu makubwa ya rasimu hii ya katiba. Amesema bayana kwamba rasimu hii...
  13. C

    Waliounga mkono Pinda kuitwa mpumbavu waondolewe Jamii Forum

    :disapointed: Hivi majuzi Mh Sugu alimwita Pinda mpumbavu na baadhi ya wachangiaji wa jamii forum wakaunga mkono pamoja na kuongezea matusi mengine juu. Jamii forum ni chommbo kilichojizolea sifa kubwa na jamii ya Watanzania na katika ukurasa wake wa "Welcome to Jamii forum'' imeelezwa bayana...
  14. C

    Je kwa CCM kuna bado matawi ya kujishika?

    Hivi karibuni Mzee Kingunge Ngombale amesikika akisema bado CCM ina nafasi ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2015. Wakati huo huo kumetokea chaguzi ndogo za ngazi za mitaa, vitongoji na vijiji ambapo CCM imepoteza, na viti vingi kuchukuliwa na Chadema.J e huu ni mwanzo utakaoendelea na kuhitimizwa...
  15. C

    Muungano ukivunjika Zanzibar itatawaliwa

    :der: Imeonekana katika kipindi cha kuchangia katiba kwamba sehemu kubwa ya wazanzibari hawautaki muungano na kwa sasa ni wazi jambo lenye utata zaidi katika mabadilikoya katiba ni hili la muungano. Maono yangu ni kwamba kama itatokea muungano umevunjika iko siku zanzibari itakua sio huru tena...
  16. C

    Huyu nae ana sifa za kuwa rais wa mwaka 2015. Ajadiliwe.

    Tumeshasoma maoni ya watu mbalimbali ambayo yametolewa na wananchi kila moja na mtazamo wake kwa mtu anaefaa kuwa Rais wa Tanzania wa 2015 na pasipo kuangalia itikadi bali sifa. Leo nami nimeona niongeze idadi ya watu ambao kwa upande wangu naona wana sifa ya kuongoza nchi hii. Awali ya yote...
Back
Top Bottom