'Actions speak louder than words SURN'. kwa mtazamo wangu jaribu kuangalia kama matendo yake kwako ni mazuri kuliko majina...unataka akuite 'MPENZI' kama ishara ya kuwa anakupenda, je siku amekasirika/mmegombana kidogo/mmepishana kiswahili kidogo akikuita 'MSHENZI' utamlaumu?
Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help...
Kutambua kuwa ni tatizo kwako at the age of 22 ni mwanzo mzuri wa kulifanyia kazi ili uweze kujua kama wewe ni lesbian or straight. Kwa mtazamo wangu miaka 6 siyo muda mdogo sidhani kama ni rahisi kwako kuacha tabia hii ghafla, its a gradual process naona kama vile u need psychological help...
Mmmh labda....wanasema tuzingatia kwenda na wakati so dot.com era labda kwa baadhi yao inawezekana lkn kwa mtazamo wangu kama one of the BBC(Born Before Computers)era naona kama a bit unrealistic and artificial!
pole sana Katrina. kwa hadithi yako kuna mawili kwanza inawezekana wengi wetu uelewa wa hatua za kufuata unapotafuta mwenza via "on-line dating" bado ni mdogo au pili uelewa upo lkn ni hulka tu ya kukosa uvumilivu na kuendekeza matamanio ya miili yetu...
Pole sana KakaKiiza! Mungu alitoa, Mungu ametwaa! Jina lake lihimidiwe...Mwanga wa milele amwangazie na apumzike kwa amani!Amina....life has to continue KakaKiiza so stay strong for your kids, blessings!
Naona kama mlifanya maamuzi mkiwa na hasira kidogo....changanua changamoto mlizopitia ndani ya miezi 6 zinabebeka? Naamini utaweza kujua na sikiliza moyo wako unataka nini hivyo kuamua vzr zaidi!
Ningelikuwa ni mimi, ningelieanza kwa utafiti mdogo wa hizo biashara mbili na kuangalia vifuatavyo:
i- Ipi kati ya hizo biashara mbili watu wanaihitaji zaidi?
ii- Ukubwa wa hitaji hilo ikoje?
iii-Je mtaji ninao wa kuanzisha hitaji likiongezeka nitauongezaje ili nisipoteze soko
iv- inaweza ikawa...
Pole sana KakaKiiza...tunakuombea faraja, upendo na baraka zake Mungu ziwe pamoja nawe na watoto hasa katika wakati huu ambao ni mgumu mlipompoteza mpendwa wenu! Mtambuzi asante kwa kutupa details!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.