ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka?
Utakuwa umefanya...
Tunafanya makazi kuitwa nyumbani[emoji3]
Pendeza makazi yako, ofisi yako na Emperor wallpaper bora kabisa kutoka kwetu
Wallpaper imara na zenye kudumu
Utazipata roller kwa tsh 75,000 tu
Roller 1 urefu ni 9M na upana ni 0.54M
Tupigie leo
0758728258
0718327776
Mtindo wa maisha umekuwa chanzo kikubwa katika kusababisha magonjwa kwetu, ubusy wa kazi na urahisi wa maisha umefanya binadamu miili yetu kuwajibika kwa uchache sana, magonjwa kama kisukari na presha yamekuwa makubwa na yanachukua mpaka vijana wadogo
kulingana na ubusy wa kazi na umbali mtu...
maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya kukuzuia kuwa fit, leo nakueletea vifaa vichache ambavyo unaweza kutumia muda wako japo dkk 30 mpaka 40...
Toyota alphard iko sokoni
gari ilibadilishwa engine kutoka engine ya 3000cc, na sasa ipo ya 2400 cc
ipo katika hali nzuri
Namba D
njoo na fundi wako ujiridhishe
mawasiliano
0758728258
basi jibu tunalo sisi,ni muda wa kuuweka mwili sawa na kufanikisha malengo yako ya kiafya na kimuonekano hata ukiwa nyumbani
hii ni list chache ya vifaa muhimu kutumia
1. matt za mazoezi ni muhimu sana katika kuulinda mwili na sugu na kukukinga na maradhi ya ngozi
pia hukufanya ufanye mazoezi...
habari tunapenda kuwajulisha kuwa tunaprint majina,namba pamoja na udhamini katika jezi
za michezo aina zote
kwa gharama ya ths 4,500 kwa jina
pia tunatoa huduma ya kuprint picha katika tshirt za hafla mbali mbali pamoja na sare za misiba kwa gharama nafuu,bila kusahau vikombe kofia na material...
Dili la chap chap,Used hp laptop for sale, screen inch 14, hdd 500gb unapewa na keyboard protector na screen protector poa,work perfectly
Call/whatsapp
0758728258
Unaanzaje kuacha hii ikupite,
ab_roller hii ni roller inayokupa nafasi sio tu kupambana na kitambi bali na kushape na kutengeneza maeneo mengine ya mwili
Zinapatikana kwa tsh 35,000 tu
Tufollow instagram https://instagram.com/fitnessempiretz?utm_source=ig_profile_share&igshid=tidi5ond5pjh...
Habari!
Afya ni jambo la msingi na muhimu sana ili kuweza kuendelea na shughuli zako za kila siku na kuwa mtu mwenye furaha,na ndio sababu sisi tuko hapa,ijali afya yako ukiwa nyumbani kwa kupata vifaa vya mazoezi ukiwa nyumbani,pamoja na ubusy lakini lazima utapata angalau nusu saa ya kukimbia...
Sasa unaweza Kutrack maendeleo ya mazoezi na afya yako kiujumla
Inapima step ulizotembea,mapigo ya moyo,umbali,mafuta ulichoma( calories) inakuonesha nani anapiga katika simu yako,na sms zinazoingia pia,inakustua unapoweka alarm,ukikaa muda mrefu bila kuinuka itakupa notification,unakuonesha na...
Mabadiliko ya technologia yamefanya ufanyaji kazi wetu wa biashara ubadilike sana,kuna biashara ambazo zimekua kwa kiwango kikubwa kwa muda mfupi,na kuna biashara zimeanguka pia bila matarajio,wakati unabadilika,generation inabadilika,aina ya wateja/soko linabadilika,utamaduni/culture...
Habari wana jamvi
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji display ya samsung s8 kutokana na simu yangu kupata hitilafu kidogo,
Kwa yoyote aliyonayo hata kama ni used tuwasiliane
0758728258
Najua ni wengi wanakereka na hili,lakini zipo njia nzuri za kuweka mwili sawa, FITNESS EMPIRE tunakuletea kifaa rahisi kwa mazoezi ukiwa nyumbani kifaa ambacho unaweza fanya mazoezi ya mwili mzima
Utakipata kwa bei ya promotion tsh 300,000
Kama ni mkazi wa dsm tutakufanyia delivery bure pamoja...
Bidhaa mpya
Six pack care
Mashine ambayo ni mult functional utafanya mazoezi ya mwili mzima kupitia kifaa hiki ukiwa nyumbani
Kwasasa vipo kwenye promotion kutoka 350,000 mpaka 300,000
Wasiliana nasi
0758728258
0718327776
Kwa wakazi wa dar es salaam tutakuletea bure mpaka ulipo na kukufungia...
Unagonja nini?
Wahi sasa ujipatie mashine hizi kwa gharama nafuu kabisa zikiwa ni mpya kabisa.
Hitup motorized treadmilll with no incline
User maximum weight 11,000
Tsh 1,400,000
Maximum speed 12km/hour
Kizuri kuhusu sisi,tunakuletea mpaka ulipo kwa dar es salaam bila gharama
Na tunakufungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.