Search results

  1. mzee Chibai

    Naomba kufahamu mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa

    Wakuu naomba kujua mamlaka ya Afisa mtendaji kata na Afisa Tarafa maana hawa watu wana nguvu sana kwenye maeneo yao kuna sehemu unakuta mtu anakubali kupelekwa polisi lakini sio kwa Afisa mtendaji kata au Afisa Tatafa.
  2. mzee Chibai

    Naomba kujuzwa kuhusu Toyota Cami

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu hii gari, uimara wake na ubora wake. Pia kuhusu spea. Long trip na short trip na vipi kuhusu ulaji wa mafuta.
  3. mzee Chibai

    Msaada kuhusu PC Keyboard.

    Wakuu msaada please..!! Batani zangu za Pc zina staki(zinakataa kufanya kazi) moja baada ya moja kila baada ya muda. Tatizo ni nini?? Kuna namna ya kutatua tatizo au ninunue keyboard nyingine?? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  4. mzee Chibai

    Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

    Habari wana jamvi…!!! Huu ni mkasa wa kweli kabisa na nipo njia panda mpaka sahivi sijui cha kufanya. Nipo kwenye mahusiano na mtoto mkali kweli wa kichaga na tunapendana sana, tumekuwa na mipango na future nzuri tu. Tumevumiliana kwenye shida na raha japo yeye bado anasoma na yupo mwaka wa...
  5. mzee Chibai

    Msaada kwa anayejua jinsi ya kufuta/kulock Stesheni ukiwa na Star times

    Wakuu hizi TV zinanikera sana.. Kwa yetote anayejua jinsi ya kuzifuta TBC na clouds TV kwenye star times anipe msaada nifanye hiyo kazi mara moja..!! Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  6. mzee Chibai

    Msaada kudownload GTAV, GTVIV na GTA china town

    Kwa yeyote anayeweza toa msaada wa kudonlooad Rock star game free kama GTA 5, 4 anisaidie Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  7. mzee Chibai

    Aliomba tuachane sasa hivi anataka turudiane

    Nilikua nina girlfriend wangu tulipendana sana alifanya vituko vingi sana kwakuwa nilimpenda nilimsamehe kuna siku nilikuta kwenye simu yake jamaa kamtumia picha ya mgegedo wake kupitia watsup akimkumbusha siku tatu nyuma jinsi alivyomfurahisha siku alivyokula koni vizuri lakini bado nilimsamehe...
Back
Top Bottom