Search results

  1. StarTimes Tanzania

    Startimes waoneshaji rasmi wa Kombe la Dunia 2018 Urusi

    Habari zenu! Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu wamekuwa wakitoa maoni kuongeza michuano mbali mbali katika king'amuzi chetu, hivyo nasi tumeonelea...
  2. StarTimes Tanzania

    Klabu bingwa dunia live & exclusive in startimes pekee

    Habari zenu Startimes kwa mara nyingine tunawaletea habari njema watanzania kuwa tumepata rights za kuonyesha michuano ya CLUB BINGWA DUNIANI katika chanel zetu pekee. Kwa africa michuano hii itawakilishwa na TP MAZEMBE ambapo watanzania na wateja wetu watapata fursa ya kuwaona MBWANA SAMATHA...
  3. StarTimes Tanzania

    Bundesliga exclusive on startimes only pia kudhamini timu moja vpl

    Habari zenu! kwa wale wapenzi wa soka, Startimes tunazidi kuwaletea uhondo ambapo sasa tumepata EXCLUSIVE right kuonyesha BUNDESLIGA kwa nchi za kiafrika kwa miaka zaidi ya mitatu. Startimes kwa kutambua mapenzi ya soka kwa watanzania na waafrika kwa ujumla imesaini mikataba hiyo mapema mwaka...
  4. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari zenu wanaJamiiForums Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu? Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi. 1. Utaje tatizo lako 2. Taja sehemu unayoishi 3. Pia...
  5. StarTimes Tanzania

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    Leo mchana starmedia Tanzania iliitisha mkutano na waandishi wa habari kuzunguzia mambo mbalimbali sanasana kuhusu suala la ITV na EATV na sio kama ilivyotengenezwa na watu wa ITV. Mkutano huu ulihudhuriwa na waandishi mbalimbali wakiwemo ITV, STARTV, CHANEL TEN, TV1, CLAUD, SIBUKA, na vyombo...
  6. StarTimes Tanzania

    Startimes kuja na huduma za DTH

    Ili kuwezesha huduma zetu kupatikana, maeneo yote ya Dar es Salaam, startimes inategemea kuzindua huduma ya satellite dish ambayo itatoa fursa kwa wakazi wote wa Tanzania kupata huduma za startimes. Chanel katika receiver za satellite receiver zitakuwa ni nyingi zaidi ya hizi zilizo katika mfumo...
  7. StarTimes Tanzania

    Lets share digital life

    habari zenu wana JF Naomba mtupokee, katika forum yenu, tunatambua kutakuwa na hoja nyingi kutuhusu na sisi tupo hapa kwa ajili ya hilo, tutajitahidi kadiri tuwezavyo kuwapatia majibu sahihi. Ahsanteni sana
Back
Top Bottom