Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa...
Kwa kuzingatia Tanzania Tuitakayo hatuna budi mawazo yetu, fikra na mitazamo yetu, imuakisi kijana wa sasa na badaeTukiwa taifa ambalo tumejaliwa kuwa na kila rasilimali, ambazo tunaweza kuzitumia...
Embracing innovative ICT opportunities in Tanzania has the potential to transform the economic landscape over the next 5 to 25 years. By integrating technologies such as remote work platforms...
Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa...
Tanzania ni nchi yenye zaidi ya watu millioni 60 Kwa mjibu wa sensa iliyofanyika 2023 pia ni nchi yenye makabila zaidi ya 120 yenye lugha tofauti tofauti lakini yanaunganishwa na lugha Moja ambayo...
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa...
Kuijenga Tanzania ya Elimu Bora Ndani ya Miaka Mitano ijayo
Elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lile. Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika...
Katika nchi ya Tanzania aslimia 65.3 ya wananchi wake wanajihusisha na kilimo, hii tunaona kwamba ni kwa namna gani kilimo kina wafuasi wengi kupita kawaida haijalishi kwamba wengi wao hawanauwezo...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii...
Utangulizi
Tanzania tuna umuhimu wa kufanya mageuzi ya kina katika sekta ya elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Ninatoa maono ya kibunifu...
Any progress in a Country starts with its people but in every changing landscape of national development, there is an intangible yet significant barrier to progress, the mental health crisis. As...
Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa...
We can see that the biggest problem that is facing our country right now is the production and distribution of energy, which has become a major challenge, especially for communities, businesses...
In the heart of East Africa, Tanzania is on the brink of an exciting transformation. Five years from now, the nation stands at a crossroads, ready to embrace a new era of development and progress...
Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika...
In the heart of Africa, Tanzania is on the verge of a transformative journey towards progress and prosperity. Let's explore some innovative solutions that could pave the way for a better future...
"Ukiona vyaelea jua vimeundwa "TANZANIA TUITAKAYO” ndani ya miaka mitano Hadi ishirini na tano ijayo, utekelezwaji wa matumizi sahihi ya Rasilimali asili kama vile aridhi ambayo ndiyo utajiri...
Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard)
Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao...
Utangulizi,
Uchumi ni neno lenye maana pana sanaa, ila kwa kifupu uchumi ni jinsi tunavyoweza kutumia rasilimali tulizo nazo kutimiza mahitaji yetu ya kila siku kama mtu mmoja, familia , ukoo...
Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu.
Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.