SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na...
2 Reactions
1 Replies
323 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa...
1 Reactions
1 Replies
518 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Janabi alikuwa kijana mwenye nguvu na azimio kubwa, akiwa na ndoto ya kuleta matumaini kwa kijiji chake na ulimwengu kwa ujumla. Alitamani siku moja awe rais, daktari, au kiongozi mkuu ambaye...
2 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tuntufi alikuwa msichana mdogo mwenye akili sana aliyekulia katika kijiji kidogo cha Mtwara, kusini mwa Tanzania. Wazazi wake, Bi. Na Bw. Mwakasege, ambao wote walikuwa wakulima wenye bidii wa...
2 Reactions
1 Replies
290 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022 imeonesha kuwa Tanzania ina watu wapatao milioni 60+ ikiwa ni ongezeko la watu milioni 20+ kutoka sensa ya mwaka 2012, kwa...
1 Reactions
1 Replies
386 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni wakati sasa serikali inatakiwa kuwaangalia wanawake wajawazito nakutoa elimu ya magonjwa ya afya ya akili kwa wajawazito lakini kwa jamii nzima kuelewa hili janga kwasababu jamii yetu pia haina...
1 Reactions
1 Replies
462 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
"Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani "Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako" Hiko ni...
2 Reactions
4 Replies
457 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa...
2 Reactions
1 Replies
435 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
In the heart of East Africa lies a nation teeming with promise and potential. Tanzania, with its diverse landscapes, vibrant culture, and resilient people, stands at the threshold of...
1 Reactions
1 Replies
895 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mwaka 2025, taifa dogo linalojulikana kama Tanzania lilianza safari ya kujibadilisha kuwa mfano wa uendelevu na usawa. Tanzania ilibarikiwa na uzuri wa asili, misitu yenye utajiri, na wananchi...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia...
1 Reactions
2 Replies
634 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama...
1 Reactions
1 Replies
385 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb)...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na...
1 Reactions
9 Replies
911 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
NISHATI MBADALA - Ni nishati safi, rafiki wa mazingira, afya ya binaadamu na wanyama. Andiko langu linalenga zaidi, MKAA/KUNI TAKA (Briquettes)/MAJIKO BUNIFU(Cooking Stoves), inayotokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi. Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele. Uvuvi.mikoa yote yenye...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Upvote 1
Back
Top Bottom