KERO Threads

sitagliptin
KERO Responded 
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga, tafadhali fanyeni busara kuziondoa kamera ambazo zimefungwa chooni. Sio busara, sio ustaarabu, ni kuingilia faragha za watu. Chooni ni eneo...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Anonymous
KERO 
Bodi ya Wahandisi inakera sana, inachelewesha vyeti kwa makusudi, mtu amekamilisha kila takwa la registration, lakini unakuta hadi miezi 3 hadi 6 cheti bado hakijachapishwa. Ukiuliza unaambiwa...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na kero ya kukosa utulivu nyakati za usiku baada ya uwepo wa sehemu hii ya biashara kwani sehemu hii ipo karibu na hospital na makazi ya watu na kusababisha watu kushindwa kulala wakiwemo...
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Tangu kuanzishwa na kufunguliwa kwa mfumo wa watumishi portal ess.utumishi.go.tz na kuunza kutumika rasmi mnamo tarehe mosi ya mwezi september. Ukiwa na lengo la kupokea na kushughulikia maombi...
9 Reactions
38 Replies
9K Views
Anonymous
KERO 
TANESCO KIBONDO NI KERO Leo ni siku ya 3 sasa, hawa TANESCO wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wanakata umeme kwa zaidi ya saa 12 bila taarifa yoyote. Je, ni mgao umeanza tena tujue? TANESCO
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha. Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa. Usalama wa Wananchi...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Kata ya Ruzinga wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera kuna mradi wa maji haujawahi kamilika toka mwaka 2012 hadi watu washachoka kulalamika maana ukijaribu kufuatilia taarifa zinasema mradi...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Wakuu habarini! Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani. Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa...
19 Reactions
78 Replies
3K Views
Bodi ya wahandisi ina matatizo makubwa, wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi nadhani kwa sababu zao binafsi, sasa kama mhandisi tayari umeshaandikishwa ukaandika ripoti na bodi ikakaa na...
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Anonymous
KERO 
Leo hii nimeamua, kushika kalamu kuandika hili kwamba wafanyabiashara wadogowadogo waliopo Mbezi wanapata kadhia sana kwenye kufanya shughuli zao za kila siku, ila wenye taabu kubwa ni...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Anonymous
KERO 
Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Kwanini wafanyabiashara wa stendi ya Magufuli Mbezi wameachiwa kufanya biashara zao kwa kuzurura ndani ya stendi na kupanga biashara kila mahali wakati kuna majengo ya kufanyia biashara? Kuna...
2 Reactions
3 Replies
454 Views
Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi...
2 Reactions
2 Replies
545 Views
Anonymous
KERO 
Medical Council of Tanganyika (MCT) wamekuwa hawatoi msaada unaoitajika kwa madaktari especially swala la leseni kwamba ukishalipia ni aidha uifate Dodoma ama usubirie kwa muda wao wanaoutaka wao...
2 Reactions
2 Replies
622 Views
Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine...
2 Reactions
2 Replies
738 Views
Anonymous
KERO 
Serikali imeshindwa kulinda na kufuata Sheria na kanuni zake kama zinavyotaka... Mfano, kuna Baraza la taifa la usimamizi na uhifadhi mazingira kazi yake kubwa kulinda na kusimamia Sheria ya...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Anonymous
KERO 
Walimu wakifuatilia kwa maafisa wa idara ya Elimu wanaambiwa hela zipo tutawaingizia kwenye akaunti lakini mpaka sasa ukimya umetawala na hatima ya malipo hayo haijulikani. Hali hii imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio...
0 Reactions
16 Replies
624 Views
Back
Top Bottom