Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia...
Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=.
Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi...
Tunaomba Mtusemee!
Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki...
Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na...
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni...
Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili.
Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na...
Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya...
Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani.
Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa...
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4.
Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi...
Salaam,
Kuna kero kubwa sana kwa shirika la umeme Zanzibar (Zeco) maeneo ya shamba hasa Nungwi, Paje, Jambiani, Kendwa nk umeme ni mdogo sana baadhi ya maeneo kiasi kwamba ni kama tunaishi zama...
Nauliza ni lini wanafunzi kutoka chuo cha mtakatifu Augustine Tanzania SAUT watasaini hela zao za kujikimu awamu ya nne angali wenzao kutoka vyuo vingine washasaini pia huu ucheleweshaji kuna...
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic,
Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na...
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua...
Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi.
Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea...
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry.
Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa...
Pale Ubungo flyover kuna wababa na wamama watu wazima wanachezesha mchezo wa pata-potea. Wanawashawishi wapita njia, wageni na watoto wasiojua huo mchezo na kuwaibia.
Hii imekua kero sana, naomba...
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na...
Hello bosses and roses...
Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo.
Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.