KERO Threads

Anonymous
KERO 
Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Anonymous
KERO 
Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Anonymous
KERO 
Kero Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu, Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara. Naomba kufikisha/ kusema/...
5 Reactions
12 Replies
966 Views
Anonymous
KERO 
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta...
1 Reactions
6 Replies
574 Views
Anonymous
KERO 
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours...
1 Reactions
0 Replies
175 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma. Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali...
2 Reactions
3 Replies
829 Views
Anonymous
KERO 
Tatizo la wafanyabiashara kupanga bidhaa zao chini kwenye maeneo ya Kariakoo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara, hususan nyakati za mchana. Eneo la watembea kwa miguu limevamiwa na...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Wakazi wa Kijiji cha Lipwidi katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakiwaomba viongozi wao ngazi ya kata na wilaya kuwasaidia kutatua changamoto ya...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
853 Views
Anonymous
KERO 
Habari wana jukwaa, Naomba kutoa pongezi nyingi kwa Serikali kuturahisishia huduma kiganjani kupitia mfumo wa ESS kwa watumishi wa umma Kero yangu ni kuwa katika kipengele cha e-mkopo taasisi...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
BigTall
KERO Responded 
Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya...
16 Reactions
81 Replies
6K Views
Anonymous
KERO 
Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu. Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivi kama shirika ambalo liko chini ya naibu waziri mkuu iko hivi nani ataogopwa nchi hiii. Nilitaka kulipia kuunganishiwa umeme, nikajisajili, kufanyiwa survey na mwishowe nikatumiwa control...
3 Reactions
6 Replies
846 Views
Anonymous
KERO Responded 
Huku Bariadi kata ya Muamatondo hasa kijiji cha Mwasinasi umeme umekuwa kero toka wakati wa mgao hadi kuwashwa kwa mitambo ya Bwawa la mwl Nyerere. Yaani kwa siku wanakata hata zaidi ya mara saba...
0 Reactions
2 Replies
726 Views
Naripoti kutoka Morogoro manispaa: Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na...
1 Reactions
8 Replies
930 Views
Habari wakuu, Mimi nina eneo langu kibaha ,maeneo ya serikali ya mtaa viziwaziwa shuleni,, Ukubwa wa eneo ni nusu hekta.. Shida niliyonayo ni kwamba ,,nimekuta TANESCO KIBAHA wamepitisha wire...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Habarini. Zimepita siku kama tano tumekosa maji ya DAWASA huku kwetu, jana usiku yalivoanza kutoka angalau hapa home tumepata ahueni. Kisima ni muhimu kwakweli. Aisee maji yananuka, sijui huko...
0 Reactions
8 Replies
925 Views
Back
Top Bottom