Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati Arusha ukipeleka malalamiko unataka kukata RB, wanakwambia “Karatasi ya kunukuu maelezo hatuna” kisha wanakupa moja wanakwambia katoe kopi tano ulete na ukanunue na...
Kwa nini kila kukiwa na Mechi za Simba, Yanga au Azam umeme unakatwa Meatu?
Kumekuwa na changamoto ya kukatika kwa umeme bila mpangilio wala utaratibu maalumu Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.
Hali...
Habari wadau,
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.
Mimi ninafanya shuguli zangu nchini...
Huku wilaya ya Rufiji umeme unakatika sana sana,kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 30 ,sio uongo ni kweli kabisa,wanaoishi huku ni mashahidi
Mimi ninaisha Nyamwage hapa lakini hii imekuwa...
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo...
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia.
Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es...
Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983.
Mwaka 1983 Dar...
Habari za muda huu wana JF,
Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji.
Kwakweli hali ni...
Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa.
Huu ni mwezi wa nne tangu hali...
Kuna kero kubwa tunaipata Wazazi dhidi ya Shule ya Msingi Nyabulugoya iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza, tunaomba tupazie sauti ili wenye nafasi zao wapate ujumbe huu.
Kila Jumamosi Wanafunzi...
Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza.
Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye...
VYOO Katika Shule ya Msingi Rubale iliyopo kijiji Businde Kata Businde Wilaya ya Kyerwa Mkoani kagera vimekataa na kujaa kitu kinachofanya wanafunzi kukusaidia vichakani wazazi wamechagishwa hela...
Mfano mzuri wa changamoto ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ni Idara ya Macho ambayo kiukweli haina utulivu kabisa. Mgonjwa anaambiwa aje Saa 2:00 Asubuhi kwa ajili ya operation, analazimika...
Machi 6, 2024 nikiwa natoka Morogoro kurudi Dar es Salaam nilikata tiketi vizuri tu katika Ofisi za Mabasi ya Abood, tumetoka Stendi Kuu siti zipo levo, lakini kufika vituo vya mbele wakaanza...
Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani...
Habari wana Jamvi,
Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua...
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana.
Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa...
Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami.
Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina...
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba...
Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga.
Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.