KERO Threads

Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama...
1 Reactions
9 Replies
867 Views
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
The Supreme Conqueror
KERO PreGE2025 LGE2024 
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji...
0 Reactions
2 Replies
348 Views
Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu...
1 Reactions
1 Replies
344 Views
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa...
1 Reactions
9 Replies
748 Views
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
duvet
KERO Responded 
Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera. Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka...
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
1 Reactions
8 Replies
539 Views
Tanzania, nchi ya uchumi wa kati, miongoni mwa nchi zinazoendelea kwa kasi barani Africa, yenye wananchi watiifu kwenye ulipaji kodi, inayoongozwa na serikali inayohamasisha bihashara na uwekezaji...
0 Reactions
4 Replies
776 Views
Anonymous
KERO 
Chuo Kikuu cha Dodoma hakijapeleka baadhi ya taarifa za wanafunzi kwenda Bodi ya Mkopo, mpaka hivi sasa karibu asilimia 40 ya Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao za kujikimu, na pia...
2 Reactions
7 Replies
933 Views
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania ni Nchi ya ajabu sana kuwahi kutokea hapa Duniani, Tanzania ni Nchi ambayo bado iko nyuma sana na mambo ya teknolojia. Tanzania tuna Kitambulisho cha...
2 Reactions
11 Replies
755 Views
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana Naona haya...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi...
3 Reactions
7 Replies
520 Views
Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga. Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake...
0 Reactions
3 Replies
585 Views
Back
Top Bottom