KERO Threads

Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji. Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Nyendo
KERO Responded 
Malamba Mawili maji ni ya mgao yanaweza maliza wiki 2 bila kutoka na yakitoka yanatoka usiku wa manane yakitoka kidogo kidodo, yanachirizika hayana kasi hata kidogo kiasi ambacho baadhi ya watu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Jamani tunaomba kupaza sauti zetu, kwa siku ya jana Mei 15, 2024 ilikuwa siku ngumu zaidi kwa wakazi wanaozunguka eneo la godauni la kuhifadhia 'sodium' kwenye eneo la barabara Mchicha Jijini Dar...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Jimboni kwa Mbunge Ulega hali ya barabara sio nzuri, wasaidie wakazi badala ya kutumia nguvu na pesa nyingi kuchonga.
2 Reactions
2 Replies
539 Views
Anonymous
KERO 
Inawezekana hili ni jambo lisilosemwa ila ukweli huu hakuna mwenye nguvu ya kuupinga. Nalieleza hili kwa kuwasaidia watoto wakimaskini ambao hawana watu wakuwapigania(connection), na kuinusuru...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Anonymous
KERO 
Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako. Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni...
1 Reactions
0 Replies
392 Views
Anonymous
KERO 
Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa...
0 Reactions
16 Replies
932 Views
NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani...
0 Reactions
8 Replies
562 Views
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji. Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam. Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo...
2 Reactions
5 Replies
694 Views
Anonymous
KERO 
Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa...
2 Reactions
10 Replies
702 Views
Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam. Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu...
0 Reactions
8 Replies
761 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mdau kutoka mkoa wa Songwe, halmashauri ya mji wa Tunduma, kata ya Mpemba tunaomba serikali itatue changamoto ya magari yanayotoka stendi kuu ya Tunduma kutia mgomo tangu asubuhi ya Leo...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Anonymous
KERO 
Ustadhi wa Madrasa mwenye umri wa miaka 70 anayeishi hapa mtaani kwetu, ana tuhuma za kumbaka binti wa Miaka 16 mara kadhaa hadi kumsababishia hasara, kinachouma zaidi ni kwa kuwa mtuhumiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Anonymous
KERO 
Huduma ya Majisafi Manispaa ya Morogoro ni kitendawili kilichoshindikana kuteguliwa, mara nyingi maji yanatoka yakiwa machafu Huduma ya Majisafi katika Manispaa ya Morogoro chini ya Mamlaka ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous (ae48)
KERO 
Wakazi wa Mbutu Kigamboni tuna changamoto kubwa ya Barabara, mamlaka ziko wapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna changamoto kubwa ya barabara inayotoka Mlalo mpaka Lushoto hususani katika kipindi hiki cha mvua barabara zina mashimo makubwa nyingine hazipitiki kabisa kwa sababu ya matope ni wiki ya pili...
1 Reactions
2 Replies
658 Views
Back
Top Bottom