DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Anonymous
DOKEZO 
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical. Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa...
2 Reactions
9 Replies
759 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo. Pia kuna kipindi wanakuja...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh...
0 Reactions
9 Replies
781 Views
informer 06
DOKEZO Responded 
Uwepo wa Ukumbi wa muziki ambap pia una baa ndani yake (Night Club & Bar) uliopo kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni ni jambo ambalo inaonekana kama mamlaka husika zinazotoa vibali vya ujenzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya...
0 Reactions
12 Replies
895 Views
Anonymous
DOKEZO 
Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka...
1 Reactions
3 Replies
848 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu...
11 Reactions
76 Replies
7K Views
Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki...
1 Reactions
6 Replies
974 Views
Habari ndugu zangu, Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
1 Reactions
1 Replies
336 Views
Jeshi la polisi Tanzania hasa ngazi ya juu, Nyarugusu Geita kunatisha kwa mauji ya watu kuchinjwa. Nyarugusu Geita ni kata Ambayo inapatikana mkoa wa Geita wilaya ya Geita vijijini wakazi wake...
3 Reactions
8 Replies
897 Views
Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu. Papa Msofe anadai anamiliki ardhi...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Chama cha walimu makao makuu Dodoma chamtelekeza mwanachama wake bila huruma ndani ya jiji la Dodoma. Hayo yalijiri siku ya tarehe 03.10.2024.Ambapo katika tarehe hiyo...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI. Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko...
36 Reactions
207 Replies
19K Views
Back
Top Bottom