Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.
wanangoja nini wasimshtaki?
Ponda ni kiboko yenu, ndomana mnamgwaya kila siku kumzushia.
Mnajaribu kumzima kwa kutumia hila, huyo ni mmoja tu bado wengine kibao wapo wametulia.

Ponda ni kiboko yetu BAKWATA
 
Maadui ni wengi??
1. CHADEMA
2.BAKWATA
3.SERIKALI
4.UKRISTO

Hiimijitu inakuw kama miskule fulani hivi....!!!!kama ponda ndio chanzo cha vurugu,sasa kawanini wanpiga kelele pale watu wanaposema chadema ifutwe????ponda anadai haki za waislam kama inavyojitambulisha chadema.Waislam na wenyewe wameona kweli kuna haja ya kuwa karibu na ponda na kushirikiana nao kwenye kudai haki zao...ndio maana watu mamia kwa maelfu wanamkubali ponda.Haya majitu yanayoitwa wa kristo ni watu waahajabu sana...mbona hata siku moja hawajawahi kukemea maandamano ya cdm,ndio kwanza wanawapa support!!!!
MAPINDUZI AU UKOMBOZI si lazima kiongozi ni muhusika wa taifa uhusika,ndio maana hata znz J.OKELLO aliongoza mapinduzi,hata nyerere alisababisha watu wetu wengi sana kufa kwa ajili ya kujitolewa tolea hovyo kwenye mapinduzi ya nchi za kiafrika.ISHU siyo ponda ishu ni madai ya ponda.
 
.................Unaona Wa Tanzania wanavyojifanya wanajua data..........kama hali ni hiyo na ukweli na ushahidi upo Usalama wa Taifa vipi? Uhamiaji wako likizo? Si wangeamua tu mara moja repatriation.....

KAAZI KWELIKWELI!
Mangapi hayafanyiwi kazi?
Kutokuchukua hatua haihalalishi ovo/baya/kosa.
Tanzania ni nchi ambayo makosa makubwa kama haya ya uhamiaji etc hayashughulikiwi mpaka
mhusika asuguane na dola!
 
Kwa maana hiyo basi Shehe Ponda ni Raia kwakuwa alizaliwa Tanzania na Mmoja wa mzazi wake ambaye ni mama ni raia wa Tanzania Sheria ya Uraia ya mwaka 1995
Elimasauko
 
Kwa maana hiyo basi Shehe Ponda ni Raia kwakuwa alizaliwa Tanzania na Mmoja wa mzazi wake ambaye ni mama ni raia wa Tanzania Sheria ya Uraia ya mwaka 1995
Elimasauko
 
Mosi, shehe Ponda.
Pili, shehe Ilunga.
Tatu, shehe Farid.
Kujua elimu zao ni muhimu sana ili kulinganisha na yale wanayoyafanya. Tunataka kujua zaidi ya kumtaja Allah na mfumo Kristo, na kafir; wanajua nini kingine cha ziada? Zaidi ya kuijua Quran, wana maarifa gani mengine katika ulimwengu huu? Hao wanaowafuata na kuwasikiliza, nao ufaham wao ni sawa na viongozi wao? Haya ni mambo ya msingi kufahamu.
 
Ponda mufti alishapata kusema kuwa hajui kusoma na hajapata kuijua ilmu dunia, yeye kazi yake ni kufundisha vijana misimamo mikali na karate ndani ya misikiti. Pamoja na kuleta mitafaruku ya kiuongozi
 
we kweli remote huwezi kufanya kazi bila ya kubonyezwa
 
Kumradhi wa JF, pana utata wa mie kumfahamu bwana mkubwa huyu maana niliambiwa ni mzaliwa wa Kigoma na jana nafahamishwa ni mzaliwa wa Mbeya. Kwa kuwa JF ni hazina tosha hivo nimeonelea kuomba msaada japo wa historia yake fupi kama kuzaliwa na elimu pia.
Aksanteni na karibuni.
 
Mkuu historia ya huyu bwana ilishawahi kutolewa, kwa ufupi huyu jamaa asili yake ni Burundi, kwa maana hiyo ni mrundi.
Kuhusu Ilimu: Huyu jamaa ana elimu ya msingi, ila katika ilimu ya dini ndiyo kidogo kabobea.
 
Mkuu huyu ni mzaliwa wa burundi ana uraia wa kuomba hapa tanzania,unweza kuchelewa kuniamini lakini kunamwingine atakwambia pia haya nisemayo.
 
Sheikh Ponda= Mwiba kwa Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013 Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh Ponda!
 
Mkuu huyu ni mzaliwa wa burundi ana uraia wa kuomba hapa tanzania,unweza kuchelewa kuniamini lakini kunamwingine atakwambia pia haya nisemayo.

inawezekana kama Utanzania maana yake ni Ugoigoi, General Ulimwengu aliposimama Kidete nae akaitwa Mnyarwanda, 'Utanzania' ikiwa ni usanii, ujanja ujanja, nakubaliana nawe kuwa si Mtanzania, sheikh kila anapoikabil Dola makafir hugeuka kuwa Mawakil wa Serikali!
 
Sheikh Ponda= Mwiba kwa Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013 Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh Ponda!
Hii umeelezea ndo historia fupi ya Ponda?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom