bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Kwani inashindikana??Hahahaha wewe ungesubiri hadi ndoa?
Kwani inashindikana??Hahahaha wewe ungesubiri hadi ndoa?
Kama umegawa kabla ya ndoa maana yake umekubali mwenyewe kuchezewa, ushauri wangu kaa kimya lakini usianze kulalamika mara ooh nimeachwa, mara wanaume hawaoi, mara wanaume hawajielewi, mara ooh wanaume suruali, yanini yote hayo wakati ninyi wenyewe ndiyo mnakubali kuchezewa?Sasa vipi kwa ambao tushagawa kabla ya ndoa.
Kuna package yetu ya Ushauri??
Hilo liko wazi, logically mwanaume anaweza oa wanawaje kibao wakaishi vyema ila ni kinyume na mwanamkeSafi sanaa,. Nahuu mstar maana yake JUKUMU HILI alipewa mwanamme ,kwamba mwanamme kichwa hupaswi kuzini.
Ujue biblia kiuhalisia ilikua inamuhesabu mwanamme kama Ndio KILA KITU..na ndo maana wanawake walikua hawahesabiwi sensa.
Mimi nadhan, Wanaume sasa ndo tunapaswa kubeba jukumu la kutozinisha ??? Au ??? .
Asanty,safi!Safi sanaa,. Nahuu mstar maana yake JUKUMU HILI alipewa mwanamme ,kwamba mwanamme kichwa hupaswi kuzini.
Ujue biblia kiuhalisia ilikua inamuhesabu mwanamme kama Ndio KILA KITU..na ndo maana wanawake walikua hawahesabiwi sensa.
Mimi nadhan, Wanaume sasa ndo tunapaswa kubeba jukumu la kutozinisha ??? Au ??? .
Huo ndiyo ukweli wenyewe mkuu. Utafuga ng'ombe wanini wakati maziwa yanapatikana tena bila gharama???ZINAA IMEKUWA SABABU YA KUONDOKA KWA AMAN YA NDOA....KAMA WASINGEFUNUA HAD NDOA HAKIKA NDOA ZINGEENEA NA ULE MSEMO.....NIFUGE NG`OMBE WA NINI WAKAT NAYAPATA MAZIWA
Sawasawa mkuu !!!Hilo liko wazi, logically mwanaume anaweza oa wanawaje kibao wakaishi vyema ila ni kinyume na mwanamke
Heee sasa uanaume suruali unahusika nini na kugawa mapema!!!??Kama umegawa kabla ya ndoa maana yake umekubali mwenyewe kuchezewa, ushauri wangu kaa kimya lakini usianze kulalamika mara ooh nimeachwa, mara wanaume hawaoi, mara wanaume hawajielewi, mara ooh wanaume suruali, yanini yote hayo wakati ninyi wenyewe ndiyo mnakubali kuchezewa?
Sawa mkuu lakini pia ukisoma maandiko utaona hakuna mahali imeandikwa mwanaume mzinzi na apigwe mawe, bali ni mwanamke mzinzi. Hii maana yake ni kuwa mwenye jukumu la mwisho kukataa zinaa ni mwanamke.Safi sanaa,. Nahuu mstar maana yake JUKUMU HILI alipewa mwanamme ,kwamba mwanamme kichwa hupaswi kuzini.
Ujue biblia kiuhalisia ilikua inamuhesabu mwanamme kama Ndio KILA KITU..na ndo maana wanawake walikua hawahesabiwi sensa.
Mimi nadhan, Wanaume sasa ndo tunapaswa kubeba jukumu la kutozinisha ??? Au ??? .
Sijui, ndiyo nimekuulizaKwani inashindikana??
Mkuu soma kwanza uzi uelewe, mimi sikatai wao kugawa, ninachokipinga ni wao kugawa vidudu vyao huko na kisha kuja humu JF na kuanza kulalamika eti wanachezewa. Sasa wagawe wenyewe kwa hiari yao halafu waje kutulalamikia sisi wanaume kuwa tunawachezea?Kufuatilia sana maisha ya ndoa au ngono ya watu baki ni ishara ya frustrations za maisha, kukosa kazi, ukuu wa kujidanganya (delusions of grandeur) na compensation ya vitu vibaya mtu alivyofanya.
Waache wagawe wanavyotaka.
Kitu si chako unataka kuwapangia kwa msingi gani?
Dunia itaendelea tu.
Wakigawa sana au wasipogawa.
Wewe kaa na mkeo na familia yako nyumbani mpange maisha yenu.
La sivyo unaweza kuambiwa una frustrations za kukosa mke umtakaye kwa sababu unaishi dunia ya Wa Taliban tu.
Sawa mkuu, wakikubali kuchezewa basi wakae kimya, siyo wanakuja humu na kuanza kulalamika, ooh nimeachwa, ooh wanaume wanatabia mbaya, ooh wanaume hawajielewi, hivi ni nani ambaye hajielewi, yule anayekubali kuchezewa au yule anayechezea??[/
Neno.
Nyie muendelee kutubembeleza tu. Muendelee kushikiria mlipotoa mzigo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] .Sasa vipi kwa ambao tushagawa kabla ya ndoa.
Kuna package yetu ya Ushauri??
Kwani wewe huna akili kichwani, unaendaje "ghetto" kwa mwanaume ambaye bado hajakuoa? Au utaendaje Lodge na mwanaume ambaye unajua wazi kabisa ni nini anataka kwako? Ukikubali kuingia na mwanaume chumbani maana yake ni wewe mwenyewe umejirahisisha sababu ya ukahaba wako mwenyewe.Na kwa nini utumie muda mwingi kuandaa ghetto au lodge ,halafu unamuita kwa kisingizio cha kuongea kawaida akishafika unavua singlend na suruali unasingizia joto, mara inaanza vita mpaka chupi inachanwa,wanaume wabaya,ukikataa wito masimango kila dakika ,mungu ndo anajua ambacho huwa mnawaza
Hizo ni bargaining tactics.Mkuu soma kwanza uzi uelewe, mimi sikatai wao kugawa, ninachokipinga ni wao kugawa vidudu vyao huko na kisha kuja humu JF na kuanza kulalamika eti wanachezewa. Sasa wagawe wenyewe kwa hiari yao halafu waje kutulalamikia sisi wanaume kuwa tunawachezea?
Mbona usipoenda anaanza masimango,oooh wewe hunipendi,una mtu unayemsikiliza,una mpenzi mwinginee! Pamoja na kukupenda kote unakataa kunipa kampani! Malalamiko kibao,ukimwambia si usubiri kwanza unioe ndo ufaidike kwanza!ooohh Mimi nina hisia bwana,nakula nashiba na ambaye anaweza kunitatulia hiyo shida ni wewe au una mpango nichekupekee! Hivi kwa style hii unategemea niniKwani wewe huna akili kichwani, unaendaje "ghetto" kwa mwanaume ambaye bado hajakuoa? Au utaendaje Lodge na mwanaume ambaye unajua wazi kabisa ni nini anataka kwako? Ukikubali kuingia na mwanaume chumbani maana yake ni wewe mwenyewe umejirahisisha sababu ya ukahaba wako mwenyewe.
Tamaa zenu ndizo zinafanya mnachezewa hovyo hovyo.
😀.Wao wanaogopa kukuta vibamia, nasisi tunaogopa kuuziwa mbuzi kwa gunia.