Ni kweli au ni utapeli tu? Unga wa rafiki kwa ajili ya Mama Yeyoo

Mleta mada ww si ndio umenunua dawa jaribu halaf leta mrejesho umeandika maelezo tembo lakini point ndio kisisimizi na hiyo ya kibamia pia nunua
 
Umeelewa ulichokisoma wewe?
 
Hahahaaa. Naskia wamasai wanatafunaga mizizi kurefusha dhakari, na according to my close friend ambaye ni mwanamke aliyekutana na mmasai kwenye 5x6 kweli wamasai wana dhakari kuubwa. Pengine ndio maana sex tourism ipo sana na wahusika na maasai male.
Mkuu jaribu, ila tumia mara moja, uone matokeo kama ni papo hapo au ni endelevu. Na hongera kwa kimsapoti "rafiki"
 
Nakujibu kwa experience yangu...!

Hiyo dawa ya kuongeza nguvu ni kweli inafanya kazi haswa, ila kuna namna unatakiwa kuwaambia wakutengenezee wao wenyewe kwenye supu au chai ya rangi.

Wakikutengenezea wao wataanza kukupa ya kusafisha damu (Oloodwa), na ya kuharisha kwa siku 2 kabla ya hiyo hapo [emoji115].

Kisha wakikupa hiyo utajifeel vizuri, mwenye nguvu na tofauti kabisa.

Sasa wakikutengenezea hivyo vyote utakuta gharama inafikia mpaka elfu 40.

Ukiweza nenda Olokii au Ngaramtoni siku ya mnada wakutengenezee unywe halafu ingia gemuni uone.

Hiyo ya kurefusha maniaje pia wanayo lakini nasikia wanapewa wamasai wakiwa wadogo na si ukubwani, ili dushe liwe kubwa kabla ya kutahiriwa na nasikia (sijaprove) wao wana madushe makubwa kweli.

@Dabby njoo basi huku utoe ushuhuda (bila picha lakini)
 
Back
Top Bottom